Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ametengua agizo la kufunga baa saa 3:00 usiku alilolitoa Aprili 17, 2020. Amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya wamiliki wa baa kuweka mikakati ya kudhibiti virusi vya corona (kuweka vitakasa mikono, kuzingatia umbali) kwenye maeneo yao.

Na nyie Watawala Siku zingine muwe mnatuliza Kwanza Akili zenu hasa pale mnapowateua Wasaidizi wenu hawa Tanzania hii.
 
Kuna mtu aliuliza mbona wapinzani wanang'ang'ania zuio la mikusanyiko ya ibada tu na sio bar.
 
RC alikuwa correct 100.1%

amegeuka nyuma kama mke wa Lutu...jiwe la chumvi linamuhusu
 
Robert maamuzi ya kufunga bar saa mbili ameyabadilisha na kuwambia wamiliki bar wakeshe kabisa ikibidi ilimradi wajilinde tu... Hiyo ndo maana ya kufyata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania nao watakuwa hamnazo kwa kusubiri matamko haya ya kubabisha kulinda afya zao.Kwa hali hii bado kuna mijitu inakwenda bar?...useless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi ya swali na ya sasa hivi yote yako sawa. Agizo la serikali ni kuweka vitakasa mikono kola sehemu muda wote. Kama Mh. RC alijiridhisha kuwa kwenye baa za mkoani kwake walikuwa hawaweki baada ya saa tatu usiku, alikuwa na hali ya kuzifunga. Kama wamamiliki na waendeshaji wameahidi viweka hadi usiku, pia sawa kuruhusiwa na Mh. RC. Sisi Mwanza tunafuata maelekezo yote na ndio maana pamoja na mvua iliyoanza saa nane hadi sasa hivi tuko baani tunagonga K Vant!
 
Mlevi na kitakasa mikono wapi na wapi bwashee?!!!
 

Huu sio utetezi bali wendawazimu, yaani hivyo vitakasa mikono vinakuwepo huko kwenye hizo bar, kisha ikifika saa 3 usiku bar zote wanavitoa ama? Au hizo K Vant za kununuliwa ndio zinakupa nguvu ya kutetea maamuzi mabovu ya huyo muhuni?
 
Mbona makonda akitangazaga maujinga yake huwa hawamwambii arekebishe Wanamuogopa? naona katibu wachama ndiyo anajitutumuaga!!
Huyu mkinga anakuwaga na wenge flani inapnekana alitumia weed sana kama kwasasa hatumii
 
Huu sio utetezi bali wendawazimu, yaani hivyo vitakasa mikono vinakuwepo huko kwenye hizo bar, kisha ikifika saa 3 usiku bar zote wanavitoa ama? Au hizo K Vant za kununuliwa ndio zinakupa nguvu ya kutetea maamuzi mabovu ya huyo muhuni?
Nanunuliwa na nani?
 
Duuh!!
Hivi umeumbwa kama sisi binadamu wengine wa kawaida!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…