Ulipenda nini kitokee??Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ametengua agizo la kufunga baa saa 3:00 usiku alilolitoa Aprili 17, 2020. Amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya wamiliki wa baa kuweka mikakati ya kudhibiti virusi vya corona (kuweka vitakasa mikono, kuzingatia umbali) kwenye maeneo yao.
Na nyie Watawala Siku zingine muwe mnatuliza Kwanza Akili zenu hasa pale mnapowateua Wasaidizi wenu hawa Tanzania hii.
Lazima kuna sentence ilisomeka "pumbavu wewe kwahuo ufala uliofanya kodi tutazipataje?"Kwa jinsi ninavyomjua huyo Mkuu kwa jinsi Matusi yalivyo Mlangoni mwa Mdomo wake na Viganjani ni lazima alimtukana tu.
Ulipenda nini kitokee??
Lazima kuna sentence ilisomeka "pumbavu wewe kwahuo ufala uliofanya kodi tutazipataje?"
Wewe mwenyewe huwa unaanzisha thread purukushi hapa. Ila unavumiliwa tuKama hakuna Kosa hapo kwanini ' Kaufyata ' Mkia hasa Kimaamuzi? Nasubiri Jibu lako ili nijue uwezo wako wa Kufikiri Mkuu.
Wewe mwenyewe huwa unaanzisha thread purukushi hapa. Ila unavumiliwa tu
Kukurupukia Mada ambazo zinahitaji Akili Kubwa ambazo bahati mbaya Yeye hana katika Kuzikabili. Yaani nawe huoni Kosa?
Kila mtu anakuchukia...hapa Jf / lazm utakuwa wanakunanilii sio bure.
πππAu kuna mtu kampa darsa kwamba pombe ni sanitaiza ya koo...!!
We ropo ropo nimekuacha Kwasababu Siwezi kufanya argument na akili fyatu km Wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukoo wako ungepata Mtu wa aina yangu ungeringa / kutamba mno ila imekuwa ni bahati wote wana Akili ' Emolo ' kama zako.
Kweli. Mlevi mmoja alipokosa maji chooni ( baa zingine hazijali kuweka maji chooni ), alibeba maji na vitakasa mikono vilivyokua mlango wa mbele wa baa na kwenda kuchambia! Alikosea?Mlevi na kitakasa mikono wapi na wapi bwashee?!!!
Andaa madera ya kuvaa kanisani kesho kisha pambana na hali yakoUmeshainawisha Kwanza Akili yako ' Dhaifu ' na Sanitizer au tuendelee Kukuvumilia?
Asante kwa taarifa hii.View attachment 1422530
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini katika hali ya kushangaza leo hii amefuta amri hiyo , na kwamba wanywaji waendelee kupiga kilaji mpaka watakapotosheka , ili mradi wachukue tahadhari .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji Tiririka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona