Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

Sasa Mama huwa yeye, anashindwa nini kufanya haya ilihali ana TOOLS zote?..
Hivi kwa fikra zako kuna kitakalo fanyika hapo? Hizo zote ni futuhi tuu, na zitasahaulika hata kabla hajafika Dodoma.
Ameyakusanya maccm hapo na kubwabwaja kisha yanamshangilia na imetoka hiyo.
Weka notification ya post hii na baada ya mwezi fuatilia kama kuna kilichofanyika.
 
Kudadadadeq
 
😁😁😁😁😁😁😀😀😀😀
 
Akiba ya maneno ni muhimu sana kwenye ulingo wa siasa.
[emoji1787][emoji1787]
 
Nyuma geuka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Majamaa yanageuzina ulaji tu
 
Hawa wateule wa awamu watafika mbinguni wamechoka sanaa
 
Hapana;
Iko hivi; Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya Mkoa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa..Mkuu wa Mkoa ni Mjumbe Mwalikwa.
Aidha, Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa.
Ni mwenyekiti wa kamati ya siasa ya mkoa.

Pia ni mtumishi wa Serikali inayoongozwa na CCM .
 
Hapana;
Iko hivi; Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya Mkoa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa..Mkuu wa Mkoa ni Mjumbe Mwalikwa.
Aidha, Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa.
Fanya homework yako vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…