Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
Hamna sera baadae mnalalamika mnaibiwa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa fikra zako kuna kitakalo fanyika hapo? Hizo zote ni futuhi tuu, na zitasahaulika hata kabla hajafika Dodoma.Sasa Mama huwa yeye, anashindwa nini kufanya haya ilihali ana TOOLS zote?..
Hahaaaa vise versa is trueZamu ya Makalla kwenda Arusha kutoa maagizo ndani ya siku 2 yawe yametekelezwa na Mkuu wa Mkoa.
Kudadadadeq[emoji419][emoji419] MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA
Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa muendelezo wa ziara yake.
Maagizo hayo ni;
1 Chama Cha Mapinduzi kimetoa muda wa wiki moja kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla kuhakikisha Hospitali ya Wilaya ya Sengerema inafunguliwa na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
2 Chama Cha Mapinduzi yamuelekeza Afisa Ardhi kuhakikksha hadi kufikia kesho tarehe 13 Novemba, 2023 hati itolewe na ujenzi wa stendi uanze.
3 Aidha CCM yamuelekeza Mkurugenzi wa Halmaahauri ya Sengerema hadi kufikia kesho tarehe 12 Novemba, 2023 Stendi ya Mwembe yanga iliyokuwa imefungwa ifunguliwe kwani ni moja ya malalamiko makubwa ya Wananchi wa eneo hilo.
Cde. Paul Makonda
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa.
Akizungumza njiani na Wananchi wa Sengerema Jijini Mwanza kwenye ziara yake leo tarehe 12 Novemba, 2023.
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
😁😁😁😁😁😁😀😀😀😀📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA

Akiba ya maneno ni muhimu sana kwenye ulingo wa siasa.[emoji419][emoji419] MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA
Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa muendelezo wa ziara yake.
Maagizo hayo ni;
1 Chama Cha Mapinduzi kimetoa muda wa wiki moja kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla kuhakikisha Hospitali ya Wilaya ya Sengerema inafunguliwa na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
2 Chama Cha Mapinduzi yamuelekeza Afisa Ardhi kuhakikksha hadi kufikia kesho tarehe 13 Novemba, 2023 hati itolewe na ujenzi wa stendi uanze.
3 Aidha CCM yamuelekeza Mkurugenzi wa Halmaahauri ya Sengerema hadi kufikia kesho tarehe 12 Novemba, 2023 Stendi ya Mwembe yanga iliyokuwa imefungwa ifunguliwe kwani ni moja ya malalamiko makubwa ya Wananchi wa eneo hilo.
Cde. Paul Makonda
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa.
Akizungumza njiani na Wananchi wa Sengerema Jijini Mwanza kwenye ziara yake leo tarehe 12 Novemba, 2023.
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Siasa ndivo zilivo mkuu...kila mtu anawajibika katika nafasi yake hakun baya LA ndugu yetu Paul makonda haooHahaaaa vise versa is true
GwarideeNyuma geuka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mwenyekiti wa kamati ya siasa ya mkoa.
Pia ni mtumishi wa Serikali inayoongozwa na CCM .
Fanya homework yako vizuri mkuuHapana;
Iko hivi; Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya Mkoa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa..Mkuu wa Mkoa ni Mjumbe Mwalikwa.
Aidha, Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa.
Nimekufanyia wewe tena unabisha..kazi kweli...inakubalika kukosea mara moja ila ukikosea mara ya pili tutakutilia mashaka Mkuu.Fanya homework yako vizuri mkuu
Upp sahihi mkuu, nilichanganya filesNimekufanyia wewe tena unabisha..kazi kweli...inakubalika kukosea mara moja ila ukikosea mara ya pili tutakutilia mashaka Mkuu.