Ukiwa kwenye familia ya viongozi wa CCM lazima utafanikiwa ingawa ni kifisadi zaidiHao WATOTO wa vigogo wanapeana ajira tu ili wasikae Jobless.
Ingekuwa ni kufanya kazi, wangeweka mtu anayefanya KAZI na siyo kulipa fadhila au kuwapa rushwa watu watulie.
Wezi kama weziKifupi mongela peke yake kufanikisha hilo bila kupata sapoti yenu wadau!
Kumuenzi mtu ni kumpa vyeo vya kufanya maamuzi !???Getrude mongela alupigania uhuru wa nchi hii lazima tumuenzi...
Wezi kama wezi
Kazi ni ya Mkurugenzi wa Jiji Kiomoni Kibamba, Meya Sima Constantine na baraza lake la Madiwani. RC John Mongela ni kusimamia utekelezaji wa mipango.Mkuu wa mkoa aje akusafishie mtaa?
Wewe nenda kalale kuleMkuu wa mkoa aje akusafishie mtaa?
Majizi wakubwaKazi unayo umenyooka!
Mkuu wa Mkoa anaangalia eneo pana zaidi ya Jiji la Mwanza, Ukerewe, Sengerema, Magu, Kwimba, Misungwi na Buchosa kumlaumu kwa usimamizi wa usafi wa Jiji ni kumuonea tu, Wanaokusanya mapato ni Mkurugenzi na wanatoa tenda za ukusanyaji taka/ usafi kwa ujumla ni Mkurugenzi/ Meya na Baraza la Madiwani. Mku wa Mkoa kumuingiza humo naweza sema ni chuki tu....Mkuu wa mkoa utamsingizia ngebe . Mipango ya usafi ni ya halmashauri ya jiji la mwanza na manispaa ya Ilemela. Tamko la kuruhusu wamachinga kila sehemu lilitolewa na boss akiwa mwanza. Mongela afanyeJe sasa ?!. Ukitaka jiji la mwanza liwe Safi mpaka wamachinga wapangwe au waonfolewe ktkt ya jiji.
Mkuu wa Mkoa anaangalia eneo pana zaidi ya Jiji la Mwanza, Ukerewe, Sengerema, Magu, Kwimba, Misungwi na Buchosa kumlaumu kwa usimamizi wa usafi wa Jiji ni kumuonea tu, Wanaokusanya mapato ni Mkurugenzi na wanatoa tenda za ukusanyaji taka/ usafi kwa ujumla ni Mkurugenzi/ Meya na Baraz ala Madiwani. Mku wa Mkoa kumuingiza humo naweza sema ni chuki tu....
Natamani mleta post ajifunze kitu kutoka kwenu.Yes, Mwanza Jiji kuna shida siyo siri...