Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Nakumbuka enzi hizo Mwanza ndio jiji lililokuwa linashinda kila mwaka kwa usafi.Hiyo picha ya kwanza ni mtaani kwangu hapo nkurumah road mtaa wa Uturn alafu mita chache kutoka hapo ndipo ilipo bohari ya madawa ya MSD, yani pachafu sana mwanza!
Sasa hivi sidhani kama hayo mashindano bado yapo.