IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Nepotism..John Mongela alipewa fadhila na yeye ale Kwasababu ya jina la mama yake, Getrude Mongela.
Suala la kufanya kazi ni option. Atakuwa anasaidia saidia tu ili aonekane na yeye yupo lakini siyo kipaumbele.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app