Nakumbuka enzi hizo Mwanza ndio jiji lililokuwa linashinda kila mwaka kwa usafi.Hiyo picha ya kwanza ni mtaani kwangu hapo nkurumah road mtaa wa Uturn alafu mita chache kutoka hapo ndipo ilipo bohari ya madawa ya MSD, yani pachafu sana mwanza!
Kwa hiyo mkuu wa mkoa ndo afanye majukumu ya meya, hizi bange huwa mnavutia wapi?
Anaetangaza zabuni za ukusanyaji taka ni nani labda? Ukusanyaji mapato na matumizi ya Halmashauri ni nani msimamizi kati ya Mkurugenzi na RC?unaelewa maana ya mkuu wa mkoa?
Katumiwa huyo sii bure, ameacha meya wa jiji kaenda kwa mkuu wa mkoa,umaskini unatutesaAisee Makonda anavyokumbukwa kazi ipo, matusi yote yale aliyokuwa anatupiwa!, iko siku na CCM itaondoka madarakani usikie bora hata CCM ingekuwepo!!
Alafu mpiga picha kavizia wamezibua mifereji ya maji na kuondoa taka wakati wanasubiri kuzikusanya...Hizo picha zote mbona ni kama za mtaa mmoja!?
Majizi wakubwa
Huna ujuwalo zaidi ya uchumia tumboLakini hatujanyofoa kipengele cha ukomo!
Wewe wala huishi Mwanza unaongozwa na mihemuko ya kisiasa. Tangu Disemba 2020 soko kuu na stand kuu ya mabus Nyegezi vinajengwa usiku na mchana na huna habari. Pole sana.Ni hivi Mwanza kwa Sasa hapafai, anzia maeneo haya yaliyo katikati ya jiji, Nyerere road yote, kenyatta road, Mtaa wa rumumba, Sahara, Mbugani, Makoroboi, fire, pamba road, Msikiti wa ijumaa nk. huko kote uchafu umetapakaa
Walivunja soko kuu pamoja na stendi ya nyegezi,wakazungusha bati huu ni mwaka wa pili hakuna kinachoendelea, na kuonyesha walivyo wajinga, wakati wa uchaguzi mkuu wakaandika chagua Magufuli na chagua Mabula kwenye hizo bati walizozungushia.
moja ya vijana wenye haiba na kipaji cha uongozi basi tuAisee Makonda anavyokumbukwa kazi ipo, matusi yote yale aliyokuwa anatupiwa!, iko siku na CCM itaondoka madarakani usikie bora hata CCM ingekuwepo!!
Mbona hatujawahi kuikumbuka TANU??Aisee Makonda anavyokumbukwa kazi ipo, matusi yote yale aliyokuwa anatupiwa!, iko siku na CCM itaondoka madarakani usikie bora hata CCM ingekuwepo!!