CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Chokwo wacha makelele kamlilie aliyekutoa marinda hapa tunajadili mpira.Kamzalie GSM acha kuwashwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chokwo wacha makelele kamlilie aliyekutoa marinda hapa tunajadili mpira.Kamzalie GSM acha kuwashwa
We fala usipende kunizoea kabisa, andika thread yako na wewe uone kama ntakuingilia, kocho weAcha kupenda kulialia huku ukiwa huna sababu ya msingi.
Vilaza siku zote kinga yenu kubwa ndiyo hii ya kukimbilia kutukana. Kutwa ni kulialia tu humu jukwaani kama vitoto vichanga. Halafu jamii forums siyo ya baba yako. Kwa hiyo huna uwezo wa kunipangia kuchangia mjadala.We fala usipende kunizoea kabisa, andika thread yako na wewe uone kama ntakuingilia, kocho we
Atakuwa amejidunga zile sindano wanazochomwa wachezaji wa nyuma mwiko.Yule mkuu wa mkoa huenda ile haikua akili yake tumsamee cha msingi aombe simba ashinde
Wewe chizi, unadhani timu zote ni walozi na watumia ngada kama yanga?Yaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo
Mzuie mamlaka kutekeleza majukumu yake
Mkuu wa mkoa ni Rais katika eneo lote la Mkoa
Kuzuia kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake ni kukosa adabu Kwa mamlaka
makolo bila uchawi mambo hayaendiYaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo
Mzuie mamlaka kutekeleza majukumu yake
Mkuu wa mkoa ni Rais katika eneo lote la Mkoa
Kuzuia kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake ni kukosa adabu Kwa mamlaka
Leta na ya wachawi utopolo walio funika cameraHuu ndio upuuzi unao wafanya Simba wakatae mazoezi Yao kushuhudiwa, Nimambo ya hovyo na yakukemewa na Wakuu wote wa mikoa ambao Simba itakwenda kucheza na Mameneja na walinzi wote wa viwanja vyote kwenye maeneo Simba watakayo cheza mechi zaoView attachment 3158383View attachment 3158383
Acheni ujinga simba haiko juu ya sheria kama vipi hamieni Burundi maana kila kitu mnaona mnaonewa tu.Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?
Hihi kweli RC wangap tunaompenda Mhe Rais tumekwazwa na wewe kwa tukio la jana, nilipoona baada ya zile clip ukakimbilia haraka haraka kutoa press halaf ukamrushia Jemedari Said na yeye alivyokuwa punguani akairusha haraka haraka, kwann hukuwa mtulivu kwanza na badala yake ukakimbilia kutoa taarifa na kuimwaga kwenye mitandao?
Mtanda, Rais akikutengua leo utamlaumu nani?
Mtanda, makosa yako haya haya yalimfanya Magufuli akudhalilishe kwenye mkutano wake na akakuadhibu umlipe mwananchi sh milioni 10 na ulilipa kweli wakat huo ukiwa DC.
Mtanda, mbona RC Morogoro Adam Malima ni Simba lkn hafanyi utoto kama ule wa jana.
Ulikuwa na lengo gan kwa kufanya yale had leo Simba wanatoa taarifa yao hadharani dhidi yako, Simba Ina mashabiki wengi sana huko Mwanza huoni kwa tukio la jana umejenga uhasama mkubwa na Simba na mashabiki wake.
Unadhani mashabiki wa Simba tutakupenda kweli?
Rais anawataka mtatue kero za wananchi ss jana umetatua kero au umeongeza kero, Mtanda umeharibu sana, Omba radhi tafadhali.
Wewe shoga badilika.Alimpa mimba mamako huoni yule mdogo wako ana pua ya kiarabu.
Yote haya chanzo chake ni yale manundu matatu ya nyuki wa taboraNajaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?
Hihi kweli RC wangap tunaompenda Mhe Rais tumekwazwa na wewe kwa tukio la jana, nilipoona baada ya zile clip ukakimbilia haraka haraka kutoa press halaf ukamrushia Jemedari Said na yeye alivyokuwa punguani akairusha haraka haraka, kwann hukuwa mtulivu kwanza na badala yake ukakimbilia kutoa taarifa na kuimwaga kwenye mitandao?
Mtanda, Rais akikutengua leo utamlaumu nani?
Mtanda, makosa yako haya haya yalimfanya Magufuli akudhalilishe kwenye mkutano wake na akakuadhibu umlipe mwananchi sh milioni 10 na ulilipa kweli wakat huo ukiwa DC.
Mtanda, mbona RC Morogoro Adam Malima ni Simba lkn hafanyi utoto kama ule wa jana.
Ulikuwa na lengo gan kwa kufanya yale had leo Simba wanatoa taarifa yao hadharani dhidi yako, Simba Ina mashabiki wengi sana huko Mwanza huoni kwa tukio la jana umejenga uhasama mkubwa na Simba na mashabiki wake.
Unadhani mashabiki wa Simba tutakupenda kweli?
Rais anawataka mtatue kero za wananchi ss jana umetatua kero au umeongeza kero, Mtanda umeharibu sana, Omba radhi tafadhali.
Shoga mamako na wewe ni chokoWewe shoga badilika.
AmeyatimbaMtanda anashukuru Simba imeshinda, sasa hivi anafanya dua iondoke Mwanza
Sijui alifikiri ni CHADEMA. Nitamshangaa shabiki WA Yanga ambae ni mwana CDM akishangilia ujinga WA huyu RC. Hivi ndivyo wapinzani wanadhalilishwa na CCM😔😔Ameyatimba
Nyie mabomba yenu mmeshayatoa kule chamazi?Yaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo
Mzuie mamlaka kutekeleza majukumu yake
Mkuu wa mkoa ni Rais katika eneo lote la Mkoa
Kuzuia kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake ni kukosa adabu Kwa mamlaka