Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

Yule mkuu wa mkoa huenda ile haikua akili yake tumsamee cha msingi aombe simba ashinde
 
We fala usipende kunizoea kabisa, andika thread yako na wewe uone kama ntakuingilia, kocho we
Vilaza siku zote kinga yenu kubwa ndiyo hii ya kukimbilia kutukana. Kutwa ni kulialia tu humu jukwaani kama vitoto vichanga. Halafu jamii forums siyo ya baba yako. Kwa hiyo huna uwezo wa kunipangia kuchangia mjadala.
 
Yaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo
Mzuie mamlaka kutekeleza majukumu yake
Mkuu wa mkoa ni Rais katika eneo lote la Mkoa
Kuzuia kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake ni kukosa adabu Kwa mamlaka
makolo bila uchawi mambo hayaendi
 
Aisee, mnapolomoa matusi mazito mazito yaan, Ile Jf iliyo civilized inayeyuka Kama ice ya MLIMA KILIMANJARO.

#MAJI NI UHAI/ WATER IZ LIFE.
 
Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?

Hihi kweli RC wangap tunaompenda Mhe Rais tumekwazwa na wewe kwa tukio la jana, nilipoona baada ya zile clip ukakimbilia haraka haraka kutoa press halaf ukamrushia Jemedari Said na yeye alivyokuwa punguani akairusha haraka haraka, kwann hukuwa mtulivu kwanza na badala yake ukakimbilia kutoa taarifa na kuimwaga kwenye mitandao?

Mtanda, Rais akikutengua leo utamlaumu nani?

Mtanda, makosa yako haya haya yalimfanya Magufuli akudhalilishe kwenye mkutano wake na akakuadhibu umlipe mwananchi sh milioni 10 na ulilipa kweli wakat huo ukiwa DC.

Mtanda, mbona RC Morogoro Adam Malima ni Simba lkn hafanyi utoto kama ule wa jana.

Ulikuwa na lengo gan kwa kufanya yale had leo Simba wanatoa taarifa yao hadharani dhidi yako, Simba Ina mashabiki wengi sana huko Mwanza huoni kwa tukio la jana umejenga uhasama mkubwa na Simba na mashabiki wake.

Unadhani mashabiki wa Simba tutakupenda kweli?

Rais anawataka mtatue kero za wananchi ss jana umetatua kero au umeongeza kero, Mtanda umeharibu sana, Omba radhi tafadhali.
Acheni ujinga simba haiko juu ya sheria kama vipi hamieni Burundi maana kila kitu mnaona mnaonewa tu.
 
Yote haya chanzo chake ni yale manundu matatu ya nyuki wa tabora
 
Mtanda anashukuru Simba imeshinda, sasa hivi anafanya dua iondoke Mwanza
 
Mtanda kamficha dc mfiraji leo tena anarudia ujinga,huyu jamaa hafai itakuwa anapakuliwa
 
Yaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo
Mzuie mamlaka kutekeleza majukumu yake
Mkuu wa mkoa ni Rais katika eneo lote la Mkoa
Kuzuia kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake ni kukosa adabu Kwa mamlaka
Nyie mabomba yenu mmeshayatoa kule chamazi?
 
Back
Top Bottom