Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

Kwanini utumie nguvu nyingi kuaminisha umma kwamba nyeusi
ni nyeupe? RC anapaswa kusimamia maendeleo ya mkoa na kuwapa uhakika wa ulinzi wa Mali zao pia wananchi cha zaidi awe m'bunifu kwa kuufanya mkoa uwe na hitajio kwa mikoa mingine na nchi kwa ujumla (ndani ya yote hayo tutajua CCM imefanya bila ya kutumia nguvu). Ebu kazi nyingine waachiwe wahusika .
 
Ni sawa wasababu hawa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hawana kazi,hivyo kujitafutia kazi ambazo hazina tija si jambo baya.
Mkuu Wa Mkoa Atakuja na kusimama Kama mgeni Rasmi wakati maombi yatafanywa na kuongozwa na viongozi wetu wa Dini
 
Kwanini utumie nguvu nyingi kuaminisha umma kwamba nyeusi
ni nyeupe? RC anapaswa kusimamia maendeleo ya mkoa na kuwapa uhakika wa ulinzi wa Mali zao pia wananchi cha zaidi awe m'bunifu kwa kuufanya mkoa uwe na hitajio kwa mikoa mingine na nchi kwa ujumla (ndani ya yote hayo tutajua CCM imefanya bila ya kutumia nguvu). Ebu kazi nyingine waachiwe wahusika .
Wahusika Ni viongozi wetu wa Dini wakati mh mkuu wa mkoa anakuja Kama mgeni Rasmi, wananchi tumepongeza uamuzi huo wa kumuombea mh Rais wetu
 
Mwaka mpya na mambo ya hovyo
Ondoa na ikatae Roho ya kishetani ndani yako ambayo inapingana na Imani ya kumwamini Mwenyezi MUNGU Kama kuweza wa yote na vyote,Sisi Wana Songwe Tuna muombea Rais wetu,
 
Ni sawa wasababu hawa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hawana kazi,hivyo kujitafutia kazi ambazo hazina tija si jambo baya.
Kweli wanazurura tuu mitaani na kuzunguka na viti vya kichina maofisini.
 
Wahusika Ni viongozi wetu wa Dini wakati mh mkuu wa mkoa anakuja Kama mgeni Rasmi, wananchi tumepongeza uamuzi huo wa kumuombea mh Rais wetu
Ungeweka kichwa cha habari vizuri kiongozi na pia iwe kwa kuleta tija kwa maombi hayo yasiwe ya kuelemea kwa chama zaidi. Kila la kheri utuletee na mrejesho hapa.
 
Ondoa na ikatae Roho ya kishetani ndani yako ambayo inapingana na Imani ya kumwamini Mwenyezi MUNGU Kama kuweza wa yote na vyote,Sisi Wana Songwe Tuna muombea Rais wetu,
Uchawa unakusumbua huna hoja ya maana anyway kuna namba nimeona hapo juu nitakuchangia hata buku ya bando
 
Ndugu Zangu Watanzania,

Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.

Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.

Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.

Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.

Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.

Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Stupid nonsense!. , iviunajua kilo ya mchele nishilingingapi wewe.

Kaulize bei ya unga na mchele alafu ujetena hapa useme ametufikia katika maeneo gani.
 
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-6lil76627
Hivi vyeo vya RC na DC vifutwe kwani watoeule wa rais hawajui kazi zao zaidi ya kumwimbia mapambio aliyewayeua
 
Mama mtizame lucas mtafutie post yyt huko kwenye serikali yako,
Maana anakupigania sana
Na kwa kurahisisha mambo kaweka namba ya sim yake ,mtafuteni tafadhali

Ova
 
Stupid nonsense!. , iviunajua kilo ya mchele nishilingingapi wewe.

Kaulize bei ya unga na mchele alafu ujetena hapa useme ametufikia katika maeneo gani.
Ndugu yangu kwa Sasa kilimo Ni Biashara, hivyo ukiona wakulima wanafaidi Sana nawewe waweza kwenda kulima ili uje ufaidike,Unajuwa msimu uliopita wakulima walinunua mfuko wa DAP shilingi ngapi? Unajuwa UREA au CAN Au SA zikipatikana kwa shilingi ngapi? Kwa Bei ya pembejeo hasa mbolea kwa msimu uliopita ilivyokuwa juu ulitaka wakulima wauzee mazao yao kwa shilingi ngapi?

Umewahi kulima? Umewahi kushika jembe? Umewahi kwenda shambani? Unafahamu maumivu ya jembe? Kama Ni Rahisi nakukaribisha nawe ulime na uuze kwa hata Mia mbili kwa kilo moja ya sembe
 
Hivi vyeo vya RC na DC vifutwe kwani watoeule wa rais hawajui kazi zao zaidi ya kumwimbia mapabio aliyewayeua
Kuwa mgeni Rasmi katika shughuli inayoongozwa na viongozi wa Dini katika kumuombea mh Rais siyo kupoteza muda,Bali Ni kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika Neema ya Uhai Tulio nao,lakini Ni sehemu ya kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh Rais ambayo inahitaji kuungwa mkono ,kutiwa moyo na faraja pamoja na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia
 
Uchawa unakusumbua huna hoja ya maana anyway kuna namba nimeona hapo juu nitakuchangia hata buku ya bando
Kuongea ukweli siyo uchawa,mama amefanya kazi kubwa Sana za kimaendeleo,Amejenga miradi ya kugusa maisha ya watanzania, Elimu bure Hadi kidato Cha sita,Vituo vya Afya kila Kona,mikopo Elimu ya juu inatolewa kwa wote wenye sifa,wawekezaji wanazidi kufurika nchini, Fursa za ajira kwa vijana zinapatikana kutokana na kuimarika kwa secta binafsi na uchumi wetu, Biashara zinafunguliwa kila Kona ya nchi yetu
 
Kuwa mgeni Rasmi katika shughuli inayoongozwa na viongozi wa Dini katika kumuombea mh Rais siyo kupoteza muda,Bali Ni kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika Neema ya Uhai Tulio nao,lakini Ni sehemu ya kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh Rais ambayo inahitaji kuungwa mkono ,kutiwa moyo na faraja pamoja na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia
Chawa mwingine
 
Ndugu Zangu Watanzania,

Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.

Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.

Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.

Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.

Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.

Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Huyu hapa Lucas Mwashambwa
IMG-20230105-WA0013.jpg
 
Wanalamba asali mpaka na kubeba kibuyu kichwani kabisa.
 
Upuuzi
 
Back
Top Bottom