Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Kama huamini uwezo na uwepo wa Mwenyezi MUNGU itakuwa una dalili za kutumikishwa na shetaniUpuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huamini uwezo na uwepo wa Mwenyezi MUNGU itakuwa una dalili za kutumikishwa na shetaniUpuuzi
Wangapi wanalipwa na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini Nishidwe kumpongeza mh Rais kwa kutimiza vyema majukumu yake ya Urais? Umewahi kukuuliza kwa Nini huwa Kuna tuzo mbalimbali zinazotolewa kwa watu waliofanya vizuri katika majukumu Yao Kama sehemu ya kutambua mchango wao? Unaumia Nini Rais wetu akipongezwa na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania?
NonsenseNdugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.
Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.
Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.
Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.
Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Tumwombee kwani tumemtuma au kumlazimisha kuwa rais punguza uchawa wee mtoto wa kiume utakuja kupakatwa aseeWangapi wanalipwa na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini Nishidwe kumpongeza mh Rais kwa kutimiza vyema majukumu yake ya Urais? Umewahi kukuuliza kwa Nini huwa Kuna tuzo mbalimbali zinazotolewa kwa watu waliofanya vizuri katika majukumu Yao Kama sehemu ya kutambua mchango wao? Unaumia Nini Rais wetu akipongezwa na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania?
Lazima tumwombee maana Ni kiongozi wetu mwenye Baraka zetu na uungwaji mkono wetu,Tunpenda na kuridhishwa na utendaji kazi wake ndio maana tunaona umuhimu wa kufanya hivyo kwa kila mmoja na Imani yake, ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzaniaTumwombee kwani tumemtuma au kumlazimisha kuwa rais punguza uchawa wee mtoto wa kiume utakuja kupakatwa asee
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa huwa ni kiazi Sana