Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Mkuu Wa Mkoa Atakuja na kusimama Kama mgeni Rasmi wakati maombi yatafanywa na kuongozwa na viongozi wetu wa DiniNi sawa wasababu hawa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hawana kazi,hivyo kujitafutia kazi ambazo hazina tija si jambo baya.
Wahusika Ni viongozi wetu wa Dini wakati mh mkuu wa mkoa anakuja Kama mgeni Rasmi, wananchi tumepongeza uamuzi huo wa kumuombea mh Rais wetuKwanini utumie nguvu nyingi kuaminisha umma kwamba nyeusi
ni nyeupe? RC anapaswa kusimamia maendeleo ya mkoa na kuwapa uhakika wa ulinzi wa Mali zao pia wananchi cha zaidi awe m'bunifu kwa kuufanya mkoa uwe na hitajio kwa mikoa mingine na nchi kwa ujumla (ndani ya yote hayo tutajua CCM imefanya bila ya kutumia nguvu). Ebu kazi nyingine waachiwe wahusika .
Ondoa na ikatae Roho ya kishetani ndani yako ambayo inapingana na Imani ya kumwamini Mwenyezi MUNGU Kama kuweza wa yote na vyote,Sisi Wana Songwe Tuna muombea Rais wetu,Mwaka mpya na mambo ya hovyo
Kweli wanazurura tuu mitaani na kuzunguka na viti vya kichina maofisini.Ni sawa wasababu hawa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hawana kazi,hivyo kujitafutia kazi ambazo hazina tija si jambo baya.
Chawa mjinga sana huyu!Ujinga mtupu, tafuta pesa halali, acha uchawa
Ungeweka kichwa cha habari vizuri kiongozi na pia iwe kwa kuleta tija kwa maombi hayo yasiwe ya kuelemea kwa chama zaidi. Kila la kheri utuletee na mrejesho hapa.Wahusika Ni viongozi wetu wa Dini wakati mh mkuu wa mkoa anakuja Kama mgeni Rasmi, wananchi tumepongeza uamuzi huo wa kumuombea mh Rais wetu
Uchawa unakusumbua huna hoja ya maana anyway kuna namba nimeona hapo juu nitakuchangia hata buku ya bandoOndoa na ikatae Roho ya kishetani ndani yako ambayo inapingana na Imani ya kumwamini Mwenyezi MUNGU Kama kuweza wa yote na vyote,Sisi Wana Songwe Tuna muombea Rais wetu,
Stupid nonsense!. , iviunajua kilo ya mchele nishilingingapi wewe.Ndugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.
Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.
Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.
Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.
Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Hivi vyeo vya RC na DC vifutwe kwani watoeule wa rais hawajui kazi zao zaidi ya kumwimbia mapambio aliyewayeuaNdugu Zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-6lil76627
Ndugu yangu kwa Sasa kilimo Ni Biashara, hivyo ukiona wakulima wanafaidi Sana nawewe waweza kwenda kulima ili uje ufaidike,Unajuwa msimu uliopita wakulima walinunua mfuko wa DAP shilingi ngapi? Unajuwa UREA au CAN Au SA zikipatikana kwa shilingi ngapi? Kwa Bei ya pembejeo hasa mbolea kwa msimu uliopita ilivyokuwa juu ulitaka wakulima wauzee mazao yao kwa shilingi ngapi?Stupid nonsense!. , iviunajua kilo ya mchele nishilingingapi wewe.
Kaulize bei ya unga na mchele alafu ujetena hapa useme ametufikia katika maeneo gani.
Kuwa mgeni Rasmi katika shughuli inayoongozwa na viongozi wa Dini katika kumuombea mh Rais siyo kupoteza muda,Bali Ni kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika Neema ya Uhai Tulio nao,lakini Ni sehemu ya kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh Rais ambayo inahitaji kuungwa mkono ,kutiwa moyo na faraja pamoja na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikiaHivi vyeo vya RC na DC vifutwe kwani watoeule wa rais hawajui kazi zao zaidi ya kumwimbia mapabio aliyewayeua
Kuongea ukweli siyo uchawa,mama amefanya kazi kubwa Sana za kimaendeleo,Amejenga miradi ya kugusa maisha ya watanzania, Elimu bure Hadi kidato Cha sita,Vituo vya Afya kila Kona,mikopo Elimu ya juu inatolewa kwa wote wenye sifa,wawekezaji wanazidi kufurika nchini, Fursa za ajira kwa vijana zinapatikana kutokana na kuimarika kwa secta binafsi na uchumi wetu, Biashara zinafunguliwa kila Kona ya nchi yetuUchawa unakusumbua huna hoja ya maana anyway kuna namba nimeona hapo juu nitakuchangia hata buku ya bando
Chawa mwingineKuwa mgeni Rasmi katika shughuli inayoongozwa na viongozi wa Dini katika kumuombea mh Rais siyo kupoteza muda,Bali Ni kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika Neema ya Uhai Tulio nao,lakini Ni sehemu ya kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh Rais ambayo inahitaji kuungwa mkono ,kutiwa moyo na faraja pamoja na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia
Mimi siyo chawa Bali ni msema kweliChawa mwingine
Huyu hapa Lucas MwashambwaNdugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.
Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.
Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.
Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.
Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Endelea kukaa mabarabarani na kupiga watu picha wanaopitaHuyu hapa Lucas MwashambwaView attachment 2470073
UpuuziNdugu Zangu Watanzania,