Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

Huyu jamaa ni mpumbavu sana tena Chawa aliekomaa walikuwepo machawa wenzako kina Bia yetu kawe alumin na machawa wengine sugu sijui wamepotelewa wapi. Hizi porojo zako za kumsifia Samia kana kwamba anaongoza kama hisani wakati ni kazi yake na analipwa kwa kodi zetu unaboa sana wee jamaa
 
Wangapi wanalipwa na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini Nishidwe kumpongeza mh Rais kwa kutimiza vyema majukumu yake ya Urais? Umewahi kukuuliza kwa Nini huwa Kuna tuzo mbalimbali zinazotolewa kwa watu waliofanya vizuri katika majukumu Yao Kama sehemu ya kutambua mchango wao? Unaumia Nini Rais wetu akipongezwa na kuombewa Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania?
 
Nonsense
 
Tumwombee kwani tumemtuma au kumlazimisha kuwa rais punguza uchawa wee mtoto wa kiume utakuja kupakatwa asee

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Tumwombee kwani tumemtuma au kumlazimisha kuwa rais punguza uchawa wee mtoto wa kiume utakuja kupakatwa asee

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Lazima tumwombee maana Ni kiongozi wetu mwenye Baraka zetu na uungwaji mkono wetu,Tunpenda na kuridhishwa na utendaji kazi wake ndio maana tunaona umuhimu wa kufanya hivyo kwa kila mmoja na Imani yake, ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…