Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

Jamani naomba kuuliza ile kesi ya kuuwa bila kukusudia inayomkabili Mh Ditopile imefikia wapi? ama ni yale yale ya miaka yote ya watanzania kuwa wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau? Nasikia familia ya marehemu imejengewa nyumba na watoto wake wanasoma one of the academies huko Kawe... kuna kipindi viongozi wa kitaifa walikuwa wakienda sana kwa familia ya marehemu Dr Shein, Lowasa etc etc imekwisha hiyo? ama familia imeridhika? Kesi alofungua Rev Mtikila imefikia wapi kupinga kubadilishwa kwa mashitaka? Nasikia Bro Dito anatumia magari ya serikali kama kawa...mlio nyumbani Tz naomba mnihabarishe nini kinaendelea kwenye mauwaji yake yule dereva wa dala dala..

Ush
 
its true huyu jamaaa bado anatalii mtaani na rangi za ccm tuu n kwanza kubadilishiwa kesi kuwa yaa kuua bila kukusudia was a plan na kununua familia ya marehemu kwa mambo madooogo!jamani kesi imefikia wapii??
 
In Bongo Kesi IMEISHA, mashahidi hawapatikani. Itakuwa jambo lisilo busara JK kumwachia mshkaji na bestman wake AFUNGWE!

Hata wewe usingeruhusu!
 
Only in banana republic Ditto can walk free as he is doing! Harafu tunaflex muscles kwamba we are promoting rule of law! Ama kweli wadanganyika...Unajua at times naingalia Tanzania yetu kama ka kampuni ka watu flani hivi wenye mradi wao wa kufanya mambo yao na sisi kama raia tunakuwa kama makuli ambao hatuna pa kutokea ni kulalamika tuuuu, maana tukirushiwa kipande kidogo na sisi tunasahau yaliyopita.... Umeshawahi kuona baba amekuachia nyumba wewe na wadogo zako home? akakupa pocket money ya kununua msosi wakati yeye na mama hawapo? basi ndo JK anavyotufanya sisi! harafu wakubwa huko magharibi waking`ka JK anacheza na kadi ya sovereignity, uhuru, haki yakujiamlia mambo wenyewe..the list goes on and on!!

I dont see end in sight!

AS AFRICANS WE LACK CONSISTENCY IN DEMANDING WHAT IS SUPPOSEDLY OURS! Thats why from all walks of life iwe ulaya, america na hata viongozi wetu hapa barani Africa they take us for granted ALWAYS, and it will never stop until and unless we take ourselves and our interests seriously. Idont know but kama jamaa alivyosema sisi ni wagumu wa kuelewa na wepesi kusahau!
 
Ditopile was a soldier well versed with guns. Guns do not go off accidentally, a gun must be cocked and the safety off to fire. Every gun owner/handler must know the basic safety rules when handling a gun. I doubt if Ditopile did not know them. In the mentioned shooting, the gun was cocked and safety off with intention to fire. Period.
 
Ditopile was a soldier well versed with guns. Guns do not go off accidentally, a gun must be cocked and the safety off to fire.

Of course clever men and women know this fact, but they do not want to admit the fact that justice will not and will never be served. It was a first degree murder no doubt about that, thank God the victim died on the spot, if he was alive i think he would be rotting somewhere in Keko.
This is Tanzanian justice
 
Leo nimeiona hii thread..........
 
Old is gold
Sheria ni tafsiri sio kam formulas (kanuni)
Ndio maana kuna kesi huhukumiwa kwa kutumia references za kesi nyingine
Lets see
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kesi ya Ditopile na hii ya sasa inayomkabili Lwakatare...tuhuma inayomkabili Lwakatare nadhani ni kubwa kuliko ile iliyomkabili Ditopile. Lwakatare anashtakiwa kwa tuhuma ya kupanga njama za kumdhuru mtu wakati Ditopile alishtakiwa kwa kosa dogo tu la kumtoa uhai mtu. Kumtoa uhai mtu limekuwa jambo la kawaida na kwa sasa hata pale linapotokea hakuna anayekamatwa. Vifo vingapi vimetokea katika siku za karibuni na hakuna aliyekamatwa wala kushtakiwa ukiacha cha Mwangosi ambapo mtuhumiwa aliyepanga na kusimamia mauaji yuko huru anatamba hadi leo.
 
Hasa kama mhusika wa kesi ameshika "VITAL NATIONAL INTEREST" ambayo ni chama fulani cha siasa......
 

Bongo kadi ya CCM ni kinga kamili.................. Huoni Ustaaadhi Ilunga bado atapeta mtaani bila shida??

Tanzania kupanga ni kosa kubwa kuliko kutenda!! Hivi yule Rama wa Ulimboka ameishia wapi ......... au wanataka kutuambia yalikuwa ni mawewe ya Ulimboka baada kumsulubisha na kumnyamazisha??
 
hiyo kadi ina mapepo, kwenye familia yetu tukiiona tu hata kama imeshkwa na mtu mwingine tunajua huyo ni mchawi tunakemea kwa jina lipitalo majina yote.
 
Sijui ni Mungu au ndugu wa jamaa waliamua to hukumu isiyo na longo na kuwapa CCM ujumbe kwamba hizo hukumu zinaweza anza tumika sana km mahakama na polisi zimeishia kufanya kazi dhidi ya wenye haki.
 
Nafikiri hii itakuwa ndio thread yenye umri mkubwa kuliko zote humu JF!
 
In Bongo Kesi IMEISHA, mashahidi hawapatikani. Itakuwa jambo lisilo busara JK kumwachia mshkaji na bestman wake AFUNGWE!

Hata wewe usingeruhusu!

Alifungwa Babu Seya Kwa Mambo Ya Kipuuzi Muuwaji Anaachiwa, Hii Ndio Tanzania Ni Zaid Ya Uijuavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…