NOSWEAT
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 332
- 324
Kufokafoka zama zake zimepita mnaopenda kufokewa kila mara ni nyie wavivu msiopenda kazi miongozo na Sheria za kazi zipo na zinatosha kumwaazibu mfanyakazi anayekiuka misingi ya ajira hayo ya kufokeana Kama watoto wadogo yameshapitwa na wakati mwaache Rais afanye kazi kiuweredi zaidi