Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Kufokafoka zama zake zimepita mnaopenda kufokewa kila mara ni nyie wavivu msiopenda kazi miongozo na Sheria za kazi zipo na zinatosha kumwaazibu mfanyakazi anayekiuka misingi ya ajira hayo ya kufokeana Kama watoto wadogo yameshapitwa na wakati mwaache Rais afanye kazi kiuweredi zaidi
 
This is my firsthand experience. Sijasimuliwa wala kuoneshwa na mtu.

I am a health care provider in one of zonal hospitals, and I happen to be here since 2012.

Ninachokiongea ninakijua vizuri. Huduma zilikuwa bora sana enzi za JPM than both JK and SH comparatively.

Na actually ni kwenye taasisi zote, siyo hapa tu. Shida umejawa chuki.
 
I thought I were having a discourse with a rational fellow. Methinks I was wrong. Bye.
 
Mbona Magufuli hakuajiri wala kupandisha madaraja, ila huduma zilikuwa bora?
Style ya JPM ilikuwa kutengeneza police state kama North Korea. Mifumo ya namna hiyo in artificial na inakwama mbele ya safari. Binadamu kwa hulka zetu tunataka uhuru.
 
Fikra za kikoloni kabisa za kuzani ukiwa kiongozi wa watu Eti unataka kuogopwa na wale unaoongoza! [emoji848][emoji848]

Hata mzazi kwenye familia ni ukoloni na mapokeo ya kutaka kuogopwa ogopwa!

Hasara za kuogopwa ni nyingi sana kuliko faida za kuwa rafiki na kuheshimika .
 
Kuna tofauti ya kuheshimiwa na kuogopwa.

Heshima huwa kwa mdogo na mkubwa.

Wakuogopwa huwa ni Mungu pekee!

Binadamu tunabaki kuheshiana tu!
 
Eti unakuta mzazi anakuwa mnoko kwenye familia hadi akifika tu home kila mtu anaufyata!

Sasa maana yake nini?

Unakuta mzazi au dada au kaka wa familia anakuwa mnoko na mgwadu uso amekaza utasema kitu gani !

Unakuta uso umejikunjakunja kama limao!
 
Kwani mhuni ni nani? I am interested in its definition.
Kwani hukuwa unasikiliza kipindi chake kabla ya kufungiwa. Maana alitoa tafsiri ya MUHUNI/WAHUNI kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la saba alielewa. Tafuta masomo yake yatakusaidia sana kuwaelewa wahuni.

Wakati huo hata wale walioshimoni walitoka walikojificha.
 
Ngoja ale Embe bovu avimbewe
 
Tuwekee hapa.
 
Kweli kabisa lazima uwe mkali mtu akiharibu unatuma vijana usiku wanamchukua na asipoeleweka anaishia kwenye viroba. Lazima wachache waumie ili nchi ifike , [emoji1]
 
Style ya JPM ilikuwa kutengeneza police state kama North Korea. Mifumo ya namna hiyo in artificial na inakwama mbele ya safari. Binadamu kwa hulka zetu tunataka uhuru.
Ndio nzuri, mwaka jana nilikua Pyoyang,, [emoji16],yaani nidhamu maofisini hadi mtaani ni kubwa sana
 
Ndio nzuri, mwaka jana nilikua Pyoyang,, [emoji16],yaani nidhamu maofisini hadi mtaani ni kubwa sana
Hebu huyo wa North Korea alogwe siku moja afungue mpaka na South Korea, atabaki na makombora yake tu, hata wanajeshi watamkimbia - reason - banadamu hataki kufugwa.
 
Mbona tunapandanisha mambo enzi ya Lyatonga na JPM ni zipi hizo? Kama umeamua kuchambua post ya juu basi endelea na mifano ya post ya juu. Ili tu mama aonekane siyo unampima na Mrema!
Bwashee, hivi unajua kuchambua hoja kweli wewe? Au huwa unachukua mifano ndiyo unaifanya kuwa hoja?!
 
Julius Nyerere alikua ni Dictator kama Jiwe lazima wafanane kitabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…