Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Kama viongozi wa hamas wanauwawa kama kuku lazima Israel itakuwa inajua mateka wake wapo wapi.

Kwa sababu Israel inapigana na nchi zote kiislam kupitia gaza. na lazima hao mateka watakuwa wamefichwa kwenye nchi moja wapo wa nchi za kiislam. Na ndio maana Israel alisema hii vita haitaishia gaza tu.
Nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ?
 
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.

Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
piga manyangau hayo, au unasemaje FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom