Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Kuna aina nyingine za imani ukizishika zinakuondolea kabisa uwezo wa kufikiri.
unamaanisha imani kama ya kina FaizaFoxy

Screenshot_20231031-224621_Quora.jpg

the religion of peace
Screenshot_20231031-224943_Quora.jpg

The religion of piece

Screenshot_20231030-113603_Quora.jpg

Mawakala mazuzu kwenye karakana ya ibilisi
 
show anayopelekewa mpalestina sio ya karne hii...pale zitabaki hadithii
View attachment 2808375
Ila nimegundua kwenye Vita Mapichapicha kama haya hata hayasaidiagi yaani.. Uwanja wa Vita upo tofauti sana aisee..

Ndio maana hata hao IDF pamoja na Sifa zao zote kubwa na support kubwa wanayopata kutoka kwa mmarekani ila bado wanapata upinzani mkali sana kutoka kwa HAMAS. na vile vile URUSI Pamoja na kuwa ni jeshi kubwa na imara sana ila mpaka leo operation yake haijakamilika huko Ukraine.. Hivyo ndugu zangu vita sio kitu cha mchezo
 
Wengetokea wapi wakati Gaza ilizingirwa tangu tarehe 8?



Una uhakika na Hilo?

Katibu mkuu UN aliwaambia Israel watoe ushahidi Hamas wameua raia kwenye tamasha,wakatoa macho tuu.



Hizi muvi hizi!

Wanamgambo hawana hata kifaru,wakateka eneo ndani ya Israel sawa na Gaza strip

wangatala kwa kauli zako mbili zinazojaribu kusalitiana hapo juu unapendekeza tushike lipi? Unaweza kuwasaidia Israel kumpatia Antonio Guterres ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.

Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Kwa hiyo mbabe "starring" kauliwa sinema imekwisha?
 
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.

Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Hamas, Hamas , Hamas kwa kudanganywa na imani za dini chini ya mwamvuli wa Iran mmesababisha vifo vya watoto wa Gaza, na wanawake.
Mnategemea kwa kuonyesha watoto waliojeruhiwa na vifo vya watoto mpate huruma ya jumuia ya kimataifa. Mara hii adui yenu mwenye nguvu hakutaka kusikiliza Makele ya huruma . Tokeni mashimoni, muwaokoe watoto wa Gaza.
Nchi nyingi za kiislam zimekataa kuingizwa kwenye hii vita kwa mwamvuli wa imani ya kidini.
Nilisema na nasema tena,
Kwa Iran vifo vya watu wa Gaza siyo kitu kwao, bali muhimu kwao ni ule uhusiano uliokuwa unaaza kuinuka kati ya Israel na mataifa ya kiislam, unatoweka. Iran umefanikiwa sana katika hili. Ila naamini waarabu wenye akili watarejeshwa ujusiano na Israel baada ya kuujua ukweli huu.
 
Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.

Na huu ndo ushenzi wa mwanadamu. Walio na nguvu na mamlaka wanathamini uhai wao tu, yaani uhai wa mmoja wao una thamani kuliko maelfu kwa mamia ya maelfu ya wanyonge. Tangu sakata lianze ni watu kibao wamepoteza maisha, makazi na mali zao, watu wapo katika hali ngumu na wamekata tamaa ya kuishi lakini hamas hawakujali wakaendeleza mapigano, Leo kazingirwa kiongozi mmoja tu ndo wanaomba maridhiano! Upumbavu!

Nilikataa kwenda jeshini kwa sababu ya upuuzi huu. Wenye mamlaka yao wakila wakavimbiwa wanaanzishiana chokochoko halafu wapambanaji na wakuumia ni wengine, wakiguswa wao ndo mapigano hutamatishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du...mkuu kwani katika hii vita una upande?!
Kwa kuwa unaona Hamas wanashindwa ndo huna upande! Nilikuambia toka.mwanzo vita haipiganwi mitandaoni, vita si imani.
Vita.ni taarifa sahihi za adui, uwezo wako dhidi ya adui, kuyamudu mazingira uwanja wa vita, na nia ya kuishinda vita.
Watoto wa Gaza wamekufa kwa kiburi cha kidini cha Hamas, wapalestina wasio na hatia wamekufa, kutokana na ulaghai wa Hamas kuwaaminisha.wanaweza.kuwalinda dhidi ya idf.
Mwisho wa siku Gaza itakuwa chini ya Israel japo ni kwa muda usiojulikana
 
Back
Top Bottom