Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Waliwachoma moto mateka wa Israeli,

Ingawa inasemekana mateka wapo Lebanon wamefichwa ndio maana Hizbollah haishi kurusha makombora. Hataki Israel aingie Lebanon. Ukweli utajulikana tu.
 
duuh aise mbona kichapo kitakua heavier sana kama imefikia hatua hiyo

Hamas walikuwa na mawasiliano yao ya ndani kwa ndani, ambayo mtu wa nje alikuwa hawezi kuingilia. Hivyo Israel akavunja network system. Ndio maana wanakumbia Yahya Sinwar kaachwa hajui kinachorndelea maana mawasiliano hamna.
 
Back
Top Bottom