Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Hawachelewi kusema mkuu wa kitengo Cha silaha wa hamas ni mtoto, ko Israel wameua mtoto😁😁 hayo magaidi yachakatwe mpka yakome

Ni style ya Hamas. Wakiona wamefanya uchokozi na wanapigwa hukimbilia kuhamasisha maanadamano ya kusitishwa mapigano. Sasa mwaka huu yamegonga mwamba.
 
Hizi muvi hizi!

Wanamgambo hawana hata kifaru,wakateka eneo ndani ya Israel sawa na Gaza strip

Ngoja tumalizane na Yahya Sinwar kwanza. Maana anaomba msaada na hakuna wa kumsaidia. Israel walimuachia kutoka Gerezani mwaka 2011, na Wala hakujifunza. Ngoja wammalize kwanza.
 
Una uhakika na Hilo?

Katibu mkuu UN aliwaambia Israel watoe ushahidi Hamas wameua raia kwenye tamasha,wakatoa macho tuu.

Aisee watu mna roho ngumu Sana. Kwa hivyo unadai wale sio Hamas?. Aisee. Ngoja Israel awamalize wote hao Magaidi ili heshima irudi.
 
Yemen, Syria, Lebanon zipo hapo Gaza ? Ukiitwa tahira unafikiri utakuwa unakosewa ? Jinga kabisa

Punguza bangi , tahira utakuwa mwenyewe. Usiniletee hasira zako hapa. Wapoganaji wa Houthi hawarushi makombora Israel na Hizbollah hawarushi makombora Israel?. Tatizo unadhani vita vipo Gaza pekee. Wewe unadhani kwanini Israel anarusha makombora Syria?. Kuna kundi lipo kule linajipanga kuvamia ndio maana akapiga Kambi yao wakasambaratika.

Hujiulizi kwanini baada ya Hamas kuvamia Israel, Hizbollah akawa anarusha makombora Israel?. Ngoja tuwasafishe hawa Magaidi kwanza.
 
Na nyie mlikua mnashangilia nini tare 07/ October. Mamaezenyu tulieni kitu ya moto ipenye nadhani mlishafundishwa kuinama vizuri au sio maalimu ?

Nashangaa Sasa hivi wengi wamegeuka. Ni Hawa walikuwa wanacheka na Kufurahia , ila Sasa hivi wanadai sio Hamas walioshambulia Israel. Na wamepigwa mpaka wamechakaa.
 
Hamas, Hamas , Hamas kwa kudanganywa na imani za dini chini ya mwamvuli wa Iran mmesababisha vifo vya watoto wa Gaza, na wanawake.
Mnategemea kwa kuonyesha watoto waliojeruhiwa na vifo vya watoto mpate huruma ya jumuia ya kimataifa. Mara hii adui yenu mwenye nguvu hakutaka kusikiliza Makele ya huruma . Tokeni mashimoni, muwaokoe watoto wa Gaza.
Nchi nyingi za kiislam zimekataa kuingizwa kwenye hii vita kwa mwamvuli wa imani ya kidini.
Nilisema na nasema tena,
Kwa Iran vifo vya watu wa Gaza siyo kitu kwao, bali muhimu kwao ni ule uhusiano uliokuwa unaaza kuinuka kati ya Israel na mataifa ya kiislam, unatoweka. Iran umefanikiwa sana katika hili. Ila naamini waarabu wenye akili watarejeshwa ujusiano na Israel baada ya kuujua ukweli huu.

Iran anaitumia Hamas kuwamaliza watu wa Gaza. Sasa Gaza imekuwa mjinwa magofu pekee.
 
Hamas wanamalizwa kabisa duniani, MOSSAD wamesema kokote kule duniani atakapo kuwepo gaidi wa hamas watamfuata na kummaliza, na mossad wanajulikana how deadly they are:
 
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.

Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Wawakamate hawo
 
Na huu ndo ushenzi wa mwanadamu. Walio na nguvu na mamlaka wanathamini uhai wao tu, yaani uhai wa mmoja wao una thamani kuliko maelfu kwa mamia ya maelfu ya wanyonge. Tangu sakata lianze ni watu kibao wamepoteza maisha, makazi na mali zao, watu wapo katika hali ngumu na wamekata tamaa ya kuishi lakini hamas hawakujali wakaendeleza mapigano, Leo kazingirwa kiongozi mmoja tu ndo wanaomba maridhiano! Upumbavu!

Nilikataa kwenda jeshini kwa sababu ya upuuzi huu. Wenye mamlaka yao wakila wakavimbiwa wanaanzishiana chokochoko halafu wapambanaji na wakuumia ni wengine, wakiguswa wao ndo mapigano hutamatishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamas wamekosea Sana. Wangesitisha mapigano mapema na kufanya mazungumzo. Sasa wao wakafanya sifa.
 
Punguza bangi , tahira utakuwa mwenyewe. Usiniletee hasira zako hapa. Wapoganaji wa Houthi hawarushi makombora Israel na Hizbollah hawarushi makombora Israel?. Tatizo unadhani vita vipo Gaza pekee. Wewe unadhani kwanini Israel anarusha makombora Syria?. Kuna kundi lipo kule linajipanga kuvamia ndio maana akapiga Kambi yao wakasambaratika.

Hujiulizi kwanini baada ya Hamas kuvamia Israel, Hizbollah akawa anarusha makombora Israel?. Ngoja tuwasafishe hawa Magaidi kwanza.
Nasema wewe ni tahira.
Nimeuliza nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ? mpaka sasa unauma uma kucha kama unatongozwa.

Nauliza tena nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ?
 
Kwa kuwa unaona Hamas wanashindwa ndo huna upande! Nilikuambia toka.mwanzo vita haipiganwi mitandaoni, vita si imani.
Vita.ni taarifa sahihi za adui, uwezo wako dhidi ya adui, kuyamudu mazingira uwanja wa vita, na nia ya kuishinda vita.
Watoto wa Gaza wamekufa kwa kiburi cha kidini cha Hamas, wapalestina wasio na hatia wamekufa, kutokana na ulaghai wa Hamas kuwaaminisha.wanaweza.kuwalinda dhidi ya idf.
Mwisho wa siku Gaza itakuwa chini ya Israel japo ni kwa muda usiojulikana

Hamas walikosea Sana. Sijui walilenga Nini kuvamia Israel. Na sijui walikuwa na mpango upi baada ya hapo.
 
hawa jamaa kumbe akili hawana. Baada ya kuzingirwa ndio wanataka makubaliano

Walikuwa wanatishia Israel akiingia Gaza wataua mateka wote. Israel akawa anatwanga tu, Sasa wameona wanakaribia kufutwa ndio wanaomba maridhiano
 
Hamas wanamalizwa kabisa duniani, MOSSAD wamesema kokote kule duniani atakapo kuwepo gaidi wa hamas watamfuata na kummaliza, na mossad wanajulikana how deadly they are:

Kweli. Na juzi wamezuia shambulio la jamaa wa Hamas kule Brazil.
 
Nasema wewe ni tahira.
Nimeuliza nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ? mpaka sasa unauma uma kucha kama unatongozwa.

Nauliza tena nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ?

Nchi ya Lebanon, Iran, Yemen na Syria. Misri Kapiga kimya.
 
Back
Top Bottom