To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kama movie vile....daahshow anayopelekewa mpalestina sio ya karne hii...pale zitabaki hadithii
View attachment 2808375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama movie vile....daahshow anayopelekewa mpalestina sio ya karne hii...pale zitabaki hadithii
View attachment 2808375
Hakuna malidhiano, ni kipigo kitakatifu tu,
Hii itakuwa, "catastroph" Kama, ya, 1948!
Hawa, Islamist, huwa, wanajiamini Sana kwa ukorofi, sasa wamekutana na mtoto wa Isaack, Wacha wachapwe!
Israel anaenda kuongeza mpaka wa nchi yake anaichukua Gaza mazima. Hata waarabu wapige kelele wanapogopa kusogeza nyuso zao. Maana waarabu wanaelewa Nyuso zao zitararuliwa. Wanapiga makelele tuu bila action yoyote IleMkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.
Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Siyo HAMAS, sema ISLAMIC STATE. Wamo waarabu wote ndani ya HAMAS.Ila nimegundua kwenye Vita Mapichapicha kama haya hata hayasaidiagi yaani.. Uwanja wa Vita upo tofauti sana aisee..
Ndio maana hata hao IDF pamoja na Sifa zao zote kubwa na support kubwa wanayopata kutoka kwa mmarekani ila bado wanapata upinzani mkali sana kutoka kwa HAMAS. na vile vile URUSI Pamoja na kuwa ni jeshi kubwa na imara sana ila mpaka leo operation yake haijakamilika huko Ukraine.. Hivyo ndugu zangu vita sio kitu cha mchezo
Israel anaenda kuongeza mpaka wa nchi yake anaichukua Gaza mazima. Hata waarabu wapige kelele wanapogopa kusogeza nyuso zao. Maana waarabu wanaelewa Nyuso zao zitararuliwa. Wanapiga makelele tuu bila action yoyote Ile
Kweli. Na juzi wamezuia shambulio la jamaa wa Hamas kule Brazil.
Ohoo kumbe hawajifunzi?Wamuue tu. Maana walimuachia mwaka 2011 ila karudia ujinga.
Hivi huwa wanaingilia mawasiliano yao?Jana pia US and Israel wamezuia ugaidi ulikuwa ufanyike Uganda na kuishtua serikali ya Uganda, so unaweza ona jinsi jamaa wako mbeleee sana in intelligence and counter terrorism strategies
Mtawaua team Hamas kwa preshasafi sana IDF tupo pamoja hadi ukamilifu wa dahali
UisilamImani gani ?
Wapo mapangoni kama panya🤣🤣.Na boda zote Askari wa Israel wapo wanakagua mtu mmoja mmoja .So still wapo Bado Mapangoni ndani ya Gaza.Kwani hawa Hamas bado wapo Gaza hadi leo? Nikajua walishafika Lebanon na Yemen siku nyingi.
Assad ni mdini wa kiwango cha lamiWote wale wale!
Ulishawahi kuona Asad anasema lolote baya juu ya utawala wa Samia?
Atazaliwa mwengine mtaalamu kuliko Abu zinwa
Imani gani ?
Wewe tahira hizo nchi unazo ziita za kiislam zipo hapo gaza zikipambana na Israel ?Nchi ya Lebanon, Iran, Yemen na Syria. Misri Kapiga kimya.
Ndio imani gani hiyo ?Imani ya ugaidi
Nani alikuaminisha ?
Jazba gani ?Punguza jazba Ngoja kazi iendelee.
Mh,Hawa si ndio wale walipigika October 7 wakaomba msaada USA?
Nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ?