Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Watamchagulia wapi?. Kwa Sasa Mohamed Abbas na Fatah yake wanajisogeza hapo Gaza. Kumbuka walizichapa 2006 na Hamas akashinda.
Kama raia wa Gaza watamkubali Abbas basi hakuna tatizo.

Ila Abbas atainekana kama kibaraka tu wa Israel maana amerejea kwenye mamlaka huko Gaza kwa msaada wa Israel ulioambatana na mauaji ya makumi elfu ya raia wa Gaza.
 
Kuna aina nyingine za imani ukizishika zinakuondolea kabisa uwezo wa kufikiri.

hata wewe mtazamo wako unasukumwa na imani, umefunikwa uwezo wa kufikiri, unatetea Waisrael kwa sababu Biblia imeku indoctrinate kwamba ni "taifa teule."

Tanzania tuliwapinga Israel kwa saab waliletwa hapo 1948 na mzungu, wakaundiwa Taifa, Wapalestina wakasogezwa pembeni. Kama Wamasai wa Ngorongoro, Wanyakyusa wa Mbarari, na Wakurya wa Serengeti wanavyofukuzwa maeneo yao.

Taifa hilo jipya likawa halitaki kuchangamana na makabila na dini nyingine, likajiita The Jewish State of Israel. Wakaendelea kujitanua. Tanzania tukapinga. Tukamfukuza balozi wa Israel.

Na tukampinga na kaburu aliyekuja Afrika Kusini kuunda taifa la Wadachi katikati ya ardhi ya Waafrika. Wanawafundisha hivi vitu mashuleni?

Sasa sisi Tanzania ambao tuna Uislamu na Ukristo halafu tunaangalia mambo kwa mirengp ya kidini bila kuogopa madhara yake ndio wapumbavu wa mwisho.
 
Jipe moyo,kwa ground TOFAUTI kabisa
 
Kwanza niulize ni kwanini wengi wanaopigania haki flani ambayo ni halali kwao huwa wanaitwa Ma-terrorists na Western countries hasa Marekani?
 
israel shikilia hapohapo hadi wafute huyo gaidi. hamas wameona kipigo kimezidi wameomba ceasefire kwa kuachia mateka 15 ili wapumue, israel akicease fire tu wanajiandaa kutoroka. hiyo ni ishara kwamba hamas wameshikwa pabaya.
 
Jipe moyo,kwa ground TOFAUTI kabisa
unafikiri kwanini hamas wenyewe kwa jeuri ile ndio wamekuwa wa kwanza kupropose cease fire? yaani anayeomba mapumziko walau ya siku mbili sio israel,ni hamas. na hata ukifungua al jazeera sasaivi hiyo cease fire na offer hamas wameitoa ya raia 15 ndio talk of the town. na wakijaribu kuwachinja mateka tu, israel anapiga bomu kubwa kwasababu raia wameshaanza kuondoka tangu jana kwahiyo pale gaza palipozingirwa patabaki hamas na israel peke yake. maji hamna, chakula kwenye mahandaki kitaisha, mafuta yataisha, umeme hakuna, aidha wakamatwe kama panya, au waachie mateka wote na israel awahurumie.
 
Kwanza niulize ni kwanini wengi wanaopigania haki flani ambayo ni halali kwao huwa wanaitwa Ma-terrorists na Western countries hasa Marekani?
Kwa sababu US na vibaraka wake siku zote wanapingana na haki
 
Eti Israel wamemzunguka wakati Israel inaogopa tarehe 11/11/23 kuna kipigo inasemekana Missiles 1111 kuelekea Israel


View: https://youtu.be/q1Ax0bD9Up4?si=RE2n2atOgBX9E0mG
Nchi hizi za kiarabu ambazo zinatawaliwa na vibaraka wa America na European wanataka kuwahi kusimamisha hi vita wao na America kwa faida ya Israel.

Israel kisha ishiwa hana jipya zaidi ya kuvunja majumba na kuwauwa watu wasio na hatia, wanawake na watoto
 
majeshi ya israel yapo gaza, ila hamas wanapiga nyumba za raia israel badala ya kupiga wanajeshi wa israel waliopo palepale gaza. manake hamas yeye hapigi wanajeshi tu, anapiga hata raia kama kulipiza kisasi, raia ambao hata hawapo vitani, wapo majumbani, na hata hao mateka ni raia. halafu anakuja mtu analalamika ati kwanini israel imeua raia, kwenye mazingira mtu anapiga raia wako afu anajificha kwenye kundi la raia wake.na mtu anapanua pua kubwa ati tunataka ceasefire isiyo ya masharti mara moja, ila hawaambii hamas wasitishe kurusha rocket, hapo ndipo utaona unafiki wa dunia. uzuri sasa israel hawasikilizi yeyote hata UN, yeye anatembeza kipigo tu hadi hamas wenyewe wameomba poo, wanaomba kuwe na mapumziko ya siku mbili ati kwa humanitarian, kwani israel amesema amezidiwa hadi kuhitaji humanitarian? wanaohitaji humanitarian ni hamas ambao wamekatiwa maji hivyo watakuwa wanatawazia mchanga, wamekatiwa njia ya chakula, mafuta ya magari na majenereta ya kupeleka hewa kwenye mahandaki na kadhalika. hivyo wameona wamebanwa, na israel amesema hataki cease fire. vita itaisha muda si mrefu na hamas watatangulizwa motoni.
 
Kwa hiyo hakutakua Tena na makombora toka Hamas..doh!!
 
We dogo wacha ni kufamishe wapi Hamasi kaomba poa?

We huoni Israel wanandamana wao kuomba vita isimame na hawamtaki Natanyahau? Sisi tuna dalili wewe huna.

Anaye omba vita isimame ni US na nchi za kiarabu hao ni vibaraka tu wa US hawaongei mpaa US awambie.

America siwalijidai hatutaki vita visimame pale mwanzo alidhani Israel atashinda kaona Israel kisha elemewa sa anataka kumhifadhi.

Israel anajidai tu mbele za kamera yeye ni champion wakati hana lolote, anajidai yupo Gaza mara anajidai kakomboa matekwa wapi hao matekwa zaidi ya yule walifanya Hollywood film eti IDF wamemkomboa πŸ˜„

Mimi nilisha sema hapa America na vibaraka wake ndio watamuokoa Israel.

Hamasi anamuambia Israel harudi matekwa ila kwa masharti yake, na anauwezo wa kupigana vita miezi sio mwezi kama Israel.

Israel akijitahidi kufika mwezi mwingine basi itakuwa mashoga wamejitahidi sana
 
uzuri, mimi na wewe hatupo gaza. tunategemea mitandao,na televisheni. tv itakayosema ukweli zaidi ni al jazeera, sasaivi tunaona kwenye tv hiyo hiyo ya Qatar majeshi ya israel yakifumua mahandaki, na wanazurura tu kwenye mitaa ya Gaza, hamas hawaonekani, manake wapo kwenye mashimo. tumeshuhudia tank la maji lilipigwa bomu, misaada inaishia kusini ambako raia wamekimbilia, israel ameikata Gaza katikati hivyo misaada haitaenda kule kaskazini walipo hamas, na hamas wamekubali kuachia mateka 15 kwa cease fire ya siku mbili, kama hamas angekuwa kwenye nafasi nzuri angekubali atoe mateka 15 kwa cease fire ya siku mbili tu? na pia, kama raia wote watafanikiwa kuondoka kaskazini, unafikiri cease fire itakuwepo tena? na kwamba hamas walificha rocket nyingi kiasi gani wazitumie kwa miezi mingi kiasi hicho? na katika mazingira kama hayo, kweli tuseme marekani ndio watakuja kuwaokoa waisrael? unaongea ukiwa wapi lakini usije kuwa umekaa kweney sink.
 
Hebu tutumie hio link tuone mahandaki gani walilo bomowa?

Israel mlisema Ijumaa atakuwa kisha fika Gaza we tuonyeshe link wapi wamefika hata kwenye handaki moja, huwezi.

Aljazeera inayo ongea English na Kiarabu ni tofauti kabisa hao wakuongea English sababu Qatar kawachia huru hao waongea wanacho taka na wengi wao watangazaji ni Wabritish hao lazima wapendele Israel.
 
fungua tu al jazeera hapo, au huna kifurushi tukusaidie kununua, kwa azam tu hapo ipo pia. hivi tunavyoongea hospitali ile ya indonesia inapigwa vibao huko balaa, na tangu asubuhi wanaonyesha msururu mkubwa mno wa watu wanaenda kusini wamesalenda hawataki kubaki gaza tena. fungua tu tv hapo iangalie sasaivi afu urudi hapa.
 
Wacha uswahili nionyeshe link ya Aljazeera inaonyesha mmefika kwenye handaki hata moja tu ndio tamini Israel wanajeshi kumbe πŸ˜„



View: https://youtube.com/shorts/H3u8tqTXMt0?si=UFp1RsTJktXzUkV5
Sikia anayeomba vita hi isimame ni nani?

Huyu kwanza alijidai hakuna kuwachia msada na akawa anajidai yeye mwenyewe ni Myahudi, sa leo kawa wakuwaonea huruma watu wa Gaza kajua mpaa Jumamosi hii kuna moto unakuja wanawahi kuikoa Israel
 
mkuu tufanye hawajafika hata Gaza na hakuna hata handaki moja wamefumua. ili ufurahi. ila kwa ushauri, fungulia al jazeera uone kipigo.
 
wangatala kwa kauli zako mbili zinazojaribu kusalitiana hapo juu unapendekeza tushike lipi? Unaweza kuwasaidia Israel kumpatia Antonio Guterres ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Antonio anajua waliouwawa ni wanajeshi.

Antonio akaenda mbali zaidi kikasababisha wamwambie ajiuzuru baada ya kuwauliza Nini kilichosababisha Hamas wawavamie?

Vita vinauhuni mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…