Glad watching and listening to General Nyamwasa , thank you Gen. 🙏🙏🙏Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame.
Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika serikali ya Congo.
Anasema kagame amekuwa Congo zaidi ya miaka 30 akiwaua wahutu wa Fdrl baada ya Genocide mpaka leo, na kwamba hana kisingizio tena kuhusu Fdrl nchini Congo.
Anasema M23 wameiburiwa upya na Rwanda 2021 baada ya Tshikedi kuingia makubaliano na Burundi na Uganda, ndipo Kagame alichukia na kusema kama hajakaribishwa atajikaribisha mwenyewe.
Amekiri Rwanda inaiba madini Congo na kupeleka Rwanda kwa ajili ya kuyauza nje na anasema kila eneo wanaloshika M23 lenye madini, madini uanza kusafirishwa haraka kwenda Rwanda.
Anakiri RDF inatoa sapoti ya 100% kwa M23.
Anasema Rwanda akiikamata Kivu yote, ataivamia Burundi na huo ndio mpango.
Anakiri ndani ya Rwanda wahutu wamefungwa minyororo na kufuri hawana pakuongelea na hawana mtetezi.
Anakiri Rwanda ina wakimbizi wengi wahutu na watusi ambao hawakubalina na sera na utawala wa kagame, na kwamba kagame asipowasikiliza kuna hatarii ya kutokea Genocide nyingine Rwanda.
Kumbuka huyu Mtusi kama ilivyo kwa kagame.
Hapa chini nimeweka interview yake yote ya leo wakati akihojiwa akiwa uhamishoni nchini Afrika Kusini.
View: https://x.com/Sentletse/status/1885998079419003033?t=XrJ7G6I2xDOUSU6Sr__OXg&s=19
Umemaliza, yote. Inasemekana Rwanda inaelekea Bukavu.Kwamantiki hyo naona M23 wametumwa na PK kwa lengo la kuiba madini kama inavozoeleka... lakini pia anawafata Wahutu waliopo Congo kwenda kuwadhibiti..lakini pia anaoneka anampango wa siri wakuja kumega sehemu ya Congo..lakini pia anaonekana ni kibaraka wa wazungu..lakini pia anafanya hvo ilikuona nani anasiraha kali zaidi yake upande wa Afrika mashariki na kati..lakini pia kubwa zaidi kisasi na Wahutu bado kipo..lakini pia anaonekana anatamaa kubwa kupita kiasi...Mwisho kabisa anaonekana ni Kirusi cha Afrika mashariki na kati ambacho kinapaswa kuuliwa au kutolewa kisije kuleta machafuko makubwa ya nchi hizi...Nimemchambua nimemaliza tukiendelea kumlea tusijutie baadaye.
Taja hizo tuhuma, maana wewe, Nyamwasa, na Kagame wote ni Watutsi pure.Nyamwasa amekuwa na tuhuma nyingi sana mbaya dhidi yake, sio credible witness.
Umeuliza swali, wkt tunakuhitaji utoe majibu, kwa nini Kagame ameenda kuuwa wahutu Congo.Hata kama ingekuwa ni kweli, Je hicho ndicho chanzo cha vita Mashariki ya Congo??
Naona anajitutumua au ni kweli Rwanda inao uwezo kumpiga SA kwao. ?Wao SA wakina nani kwani
Wewe ni kabila gani mkuu maana naona unawatambua watu kwa makabila humu?Ndiyo naye ni mtusi.
Mkuu unasema anajitutumua, nilitegemea uwe na jibu la swali lako!Naona anajitutumua au ni kweli Rwanda inao uwezo kumpiga SA kwao. ?
Silaha anazo mkuu labda ukaongeze nguvu kazisoon watampa silaha huyohuyo aende akamnyooshe kagame, na kagame anamwogopa sana huyo jamaa kwa sababu walikuwa wote, anajua uwezo wake sana.
okUmemaliza, yote. Inasemekana Rwanda inaelekea Bukavu.
Mkuu hata asipotumika yeye somebody else will do it na sio hiyari, matatizo ya wakongo yatatatuliwa na wakongo. Mfano sasa hivi Tishekedi kualika watu kupigania nchini kwake kwa madai ya kuiondoa M23, haioni hatari ya kuondolewa yeye kabla ya hao waasi kama halioni hilo hafai kuiongoza 🇨🇩. Wale wanaotaka EAC yeye mwenyewe kawakataa anawataka hao waliokuwepo huko. Na kwa vile tatizo halisi haliongelewi watu wanafata upepo na mkumbo basi vita hii itadumu historia haidanganyi.Ye anasema anachofnya Kagame ni msukumo wa walio nyuma yake ambae ni wakubwa na mimi namuuliza kwanini akubali kutumika?
Sasa hivi hawezi kashakosana na Rais wa SouthYap,ingawa bado PK anamlia timing amle kichwa hapahapo south.
Huyo ni mtusi bahati nzuri wamejianikaNdiyo naye ni mtusi.
EAC kile ni kijiwe cha wahuniHapo ndipo udhaifu wa EAC unapoonekana.
Yaani wameshindwa kabisa kumlinda mwanachama mwenzao wa EAC aliyevamiwa na mwanachama mwingine.
Porojo zake tu kwa vile alishindwa kumpindua Kagame.
Nanga alimtangaza Tshesekedi kua mshindi lakini Leo anasema hakushinda. Huyo ni mtusi mwenzenu au nae anawivu na watusi?.Huyu Jamaa anataka Power!
Nauliza tena Nanga nae vipi ambae ni mkuu wa M23, alitakiwa aanze kumpinga lini raisi wa Congo?.Angeyasema hayo mapema, sio baada ya kukurofishana na Kagame katika kinachoonekana na mgongano wa maslahi binafsi.
Mkuu ukiwa ugenini huna ulinzi huna bacl up huna inforner wako uko alone unajificha sana...kosa kujulikama unapoishi.....miaka inaenda huwajui new recruits huwa wanauawa kirahisi sana hata na wahudumu wananunuliwa.....sukia tu ukiwa uhamishonii.....lolote laweza kutokea....PK ana pesa chafu kupoteza....hata miaka 10 anakutumia watu tuu wengine wanasoma wengine biashara....wengine wanawanunua watu wako karobuuu watajua tu....traces kupewa pesa zako watajua address yako....au kwenda bank kutoa pesa kula matumiziiii......sikia tuu mkuuu....watu 10 wapewe kaxi track wewe miaka 5 mingi watajua kitu tuuu