Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Akitoa ushahidi wa kesi ya Sabaya, Mkuu wa upelelezi amesema alipigiwa simu na aliyekuwa DC wa Arusha Kenani Kihongosi akiniarifu kuwa DC wa Hai ana watuhumiwa hapa Arusha hivyo nimpe ushirikiano.

Mara baada ya kufika ofisini kwangu akiwa na watuhumiwa wawili niliambiwa hawa ni wahujumu uchumi, nikamuomba aandike maelezo, Sabaya akagoma. Niligundua kuna mapungufu kwa mshitakiwa No 1(Sabaya) hivyo sikuweza kufanya lolote kwa kuwa mshitakiwa No 1 alikuwa mteule wa Rais.

Mteule wa Rais aweza vunja sheria badala ya kusimamia sheria na akapoteza ushahidi.

KATIBA INAHITAJIKA?
 
Mnafiki kivipi wakati maelezo yake yamenyooka? Mkuu wa upelelezi anaweza kumfanya nini mteule wa rais ikiwa rais anamlinda?

Angesema sabaya hakutenda makosa ningekuelewa.
Muda wote huo alikua wapi kuripoti kwa bosi wake ngazi za juu?
 
Back
Top Bottom