Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

Katiba inampa mamlaka Rais kuteua hata wendawazimu, majambazi, wavaa milegezo, wavuta bangi, watoto wake, ndugu zake, vimada wake! Na bado hakuna wa kumpinga au kumhoji!!

So Sad! 🙁☹️
 
Huyu polisi Mungu amlinde, tunahitaji polisi wa aina hii. Atakuwa alikerwa na na huyo mshenzi.

Sasa wanaosema Sabaya ameonewa waendelee, huu ushahidi mzito sana
 
Hapana
Namaanisha angeweza kukata rufaa mpaka kwa Mkurugenzi mkuu [TISS].
Huenda ingesaidia
Yaani huyu huyu TISS ambaye naye ni mteule wa Rais? SIJUI KAMA UMEKIELEWA ALICHOMAANISHA HUYO MKUU WA UPELELEZI ARUSHA
 
Hapana
Namaanisha angeweza kukata rufaa mpaka kwa Mkurugenzi mkuu [TISS].
Huenda ingesaidia
[emoji38]mkuu. Hata majaliwa mwenyewe hawezi kuongea hovyo na DG wa Tisss. Ni viongozi wachache wenye acesss na huyo jamaa na hata ukiwa nayo ukamsema mtu huko bado DG wa Tiss hana "meno" yeye kazi yake ni kupeleka umbeya kwa rais na ku excute maaagizo ya rais basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom