Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

[emoji1787][emoji1787]Huko nyuma sikuwahi kuongelea ishu ya ndugu yangu kamarade Sabaya ...kwa ukakasi wa kesi yenyewe....
Sio tu kwa Sabaya, huwa nawachukia mataga ambao wenzao upinzani wananyanyaswa wao wanashangilia...UTU hauna mbadala wa chama wala itikadi. Tujitahidi kukemea uovu hata kama babako kaufanya
 
..halafu kuna watu wanasema CCM ina hazina ya viongozi.

..CCM wangekuwa na hazina viongozi wasingemuacha kijana wao, kada wao, akaharibikiwa kiasi hicho.

..Walezi wa Sabaya katika chama na serikali walikuwa wapi kumrudisha kijana wao ktk mstari?

..Na wakati wa Magufuli kulizuka tabia ya vijana kuwadharau na kuwashutumu wazee waliowatangulia ktk uongozi.
 
Hata ikiwepo KATIBA MPYA bado itasimamiwa na wanadamu....

Kubwa ni umuhimu wa umakini katika VETTING kuanzia juu kabisa mpaka chini....

#KaziIendelee
Huelewi maana ya katiba mpya ina create check and balance,inajisimamia mfano wabunge anaweza kataa mswada wa serikali na ukawa hivyo kwani rahisi hawezi kuwaita kwenye kikao kama mwenyekiti wa chama na kuwalazimisha.
Wananchi wakipiga jura kuchagua viongozi serikali haiwezi inglis kwani tume inakuwa chini ya judiciary kiongozi wakeni jailed mkuu ambaye rahisi hanamkonokuwateua wala kuwapangia namna yakuhukumu na mambo mengi mazuritu.
 
Hata ikiwepo KATIBA MPYA bado itasimamiwa na wanadamu....

Kubwa ni umuhimu wa umakini katika VETTING kuanzia juu kabisa mpaka chini....

#KaziIendelee
Angalau wewe unauona mwanga! Katiba ni kitabu kama vilivyo vingine, kama hii iliyopo haiheshimiwi, hiyo tunayoitaka utekelezaji wake utalindwa na nani?
 
Ni ngumu mtu kuelewa nini maana ya siasa, kwa mtu anaejua maana ya siasa sabaya hana kesi. Endeleeni na ujinga tu kuna siku watamuachia wenyewe.

Kama sio siasa mbona hakuna anaemgusa makonda?
Kuipotezea mahakama muda ni ujinga hayo makesi ya kipuuzi yafutwe.

Utawala ule umetoka bado hamuelewi somo? Kesi za kipuuzi sana hizi, huyu mama nae kha!
 
Watuletee katibaaaa,watuletee katibaaa,watuletee katibaaa , kwa mwiito wa Gwajiboy.
 
Kwa jibu hili katiba inahitajika. Raisi apunguziwe meno, mahakama iongezewe.
Nyie mnataka katiba ipi mkuu? Katiba itakayomtaka Rais aingilie Uhuru na utendaji wa mahakama? Katiba itakayomtaka Rais aingilie utendaji wa bunge na kuwaondoa wabunge Kama mnavyotaka kwa Mh. Rais Samia aamuru etii akina Mdee wafukuzwe bungeni?
 
Mjumbe mbona unajiuliuza majibu? Kitu gani huelewi hapo? Polisi anasema hakuridhika na Sabaya, hasa baada ya standard procedure ya kuchukua statement. Ni nini huelewi hapo? Katiba inatoka wapi tena? Sasa hivi Sabaya kashitakiwa, yuko jela, mbona katiba ni hiyo hiyo? Neno mteule haliepukiki, ni lazima atoke Chama Tawala, lisikuume, wewe fuata haki.
 
wewe unaema uongo na amri za Mungu zipo kwa hiyo Mungu hayupo?
 
Ndugu luckline nimeona mapovu yako,nikuhakikishie tu General Lengai Ole Sabaya hachomoki kwenye Kesi hii lazima afungwe,na kama huamini chukua namba hii ya huyo OC CID GWAKISA akupe taarifa za huyo unayemtetea,hakika povu hilo litakukauka(0769788608)
 
Luckline unatetea ujinga na upuuzi,yaani DC atoke Hai(Kilimanjaro)aje akamate watuhumiwa Arusha Mjini eneo ambalo sio lake kiutawala,huoni tu dhamira ovu hapo!!!unafikiri kwa kutumia kichwa au makalio yako??
 
Hahaha
 
like father like son.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…