Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote


Hapo wala sio katiba. Acha Utoto. Hakuna mahali ambapo Rais au katiba itaruhusu mtu kufanya uharifu kisa mteule. Na anajua huyo mtu.
 
Katiba inampa mamlaka Rais kiteua hata wendawazimu, majambazi, wavaa milegezo, wavuta bangi, watoto wake, ndugu zake, vimada wake! Na bado hakuna wa kumpinga au kumhoji!!

So Sad! [emoji853][emoji3525]
Ukivuta bangi nihuruhusiwi kuteuliwa??
 
Wonder shall never end.. Usikute Kuna mtu nyuma yako uwa anawasimulia marafiki zake kuwa Ana wife material. [emoji23][emoji23]
 
Hata ikiwepo KATIBA MPYA bado itasimamiwa na wanadamu....

Kubwa ni umuhimu wa umakini katika VETTING kuanzia juu kabisa mpaka chini....

#KaziIendelee
nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa lkn pia kama binadam hatutakiwi kuishi kwa kudra za mtu lazima tuwe na taratibu na sheria zitakazo tulazimisha kuishi kwa kutenda haki na kutimiza wajibu na tukishindwa kutekeleza yale tuliyopaswa kutekeleza basi yatupasa tuadhibiwe kwa mujibu wa sheria. Lazima tukubali kwa sasa katiba yetu inamapungufu makubwa na yakimsingi na ukweli mpaka sasa tunaishi hivi ni kwa kudra za viongozi wetu lkn wanauwezo WAKUTUZINGUA kuliko awamu zote sbb katiba ipo loose kimtindo.
 
🤣🤣Huko nyuma sikuwahi kuongelea ishu ya ndugu yangu kamarade Sabaya ...kwa ukakasi wa kesi yenyewe....

Usiseme kamarade sema general sabaya au na wewe unataka walinzi wake wakutoe locki?
 
Angalau wewe unauona mwanga! Katiba ni kitabu kama vilivyo vingine, kama hii iliyopo haiheshimiwi, hiyo tunayoitaka utekelezaji wake utalindwa na nani?
Point to make! Katiba itokanayo na wananchi Ina tabia ya kujilinda na haihitaji ulinzi wa yeyote yule awaye! Hii mnayoivunja haikutokana na wananchi Bali viongozi wachache na ndio maana haiwezi kujilinda, kujisimamia na kujiongoza yenyewe kwani ni Mali ya kikundi kidogo Cha watu!
 
Kwa kuwa alikuwa ni mteule wa Rais ndio maana Rais Msikivu mh.SSH akamtengua uDC ili sheria ichukue mkondo wake.....

#SiempreRaisMsikivuSSH
#SiempreUtawalaWaSheria
#SiempreCCM
Samia usikivu gani unasema
 
Angalia vizuri hata Kenya inavunjwa. Je, kenya ufisadi umeisha baada ya katiba mnayoisifia? Kumbuka hakuna mtu anaweza kuingiza kichwa katika mdomo wa mamba. Katiba mpya ni kuinyang’anya ulaji Ccm na kumnyang’anya madaraka Samia ya kuchukua Airbus kwenda asubuhi Dodoma na chakula cha mchana akala Dar ikulu. Ningelikuwa ni nyie kwanza ningepambana wabadili bungeni ile sheria ya kipuuzi ambayo lazima Rais awe final say katika mchakato wa kutengeneza katiba mpya. Na washiriki wa mchakato pamoja na Rais wasigombee uongozi wowote kwa muda wa miaka 20. Hapo itapatikana katiba ya maana
 
Majambazi yakalamba teuzi, hii Nchi sio ya kuikatia tamaa.
 
Hata ikiwepo KATIBA MPYA bado itasimamiwa na wanadamu....

Kubwa ni umuhimu wa umakini katika VETTING kuanzia juu kabisa mpaka chini....

#KaziIendelee
Katiba haikwepi.
Watakaovunja Katiba tutakula nao sahani moja muda ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…