Mungu ailaze pahali pema roho ya marehemu.Amen.Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli.
Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran.
Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia.
View attachment 1443731
Pole sana . Ulikua wamfaham,,!?kaka kaniuma huyu jamani..
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli.
Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran.
Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia.
View attachment 1443731
Innalillah wainna lillah rajiun
Huu nao uzi ?Salaam wakuu,
OCD wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza, amekutwa kafariki sehemu aliyofikia.
Alifikia wapi na wapi?Salaam wakuu,
OCD wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza, amekutwa kafariki sehemu aliyofikia.
Hivi wilaya inakuwa na Kamanda wa Police? Ufafanuzi taf.. R. I. P
Sent using Jamii Forums mobile app