Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.
Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa.
Kwamba wapo watazua uongo juu ya taifa letu,viongozi na hata kuzua taharuki lakini sababu wamejificha kupitia sayansi na teknolojia ya kisasa kuwakamata ni mbinde