Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Jamani kwa hili la kuongelea umbeya wa mitandaoni nadhani mama yetu ameteleza; tumsamehe bure. Hata mm nimeshangaa sana Amiri Jeshi Mkuu kuongelea jambo jepesi kama lile lakini nadhani ni kwa sababu alikuwa amechoka hivyo akashindwa kuchanganua akili kwa haraka na kuachana nalo.

Exactly. Hawezi tu kuignore mambo yasemwayo mitandaoni? Ni aibu kuona anafatilia mambo hayo. Kwa kweli ni mambo madogo mno kuongelewa na Rais wa nchi. Kila akisimama anaongelea hayo. Hapa Mama ashauriwe, anakosea.

Yani uzushi wa kitoto mitandaoni huko ndio umuumize kichwa Rais wa nchi. Hapana. Hapa Mama ameteleza labda.
 
Hata hao wengine kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa ajili ya kiokoa Tanzania yetu ni sawa hata wajifiche

Mimi ananishangaza kila anaposimama anaonyesha kabisa kufatilia na kutamani kucontrol mitandaoni watu wanasema nini. Hii si sawa hata kidogo.
 
Pole sana samia mwenzio Joni alitumia bilioni 7.5 kumtafuta kigogo yaani fedha za wizara zote zimekombwa kumtafuta kigogo tafuta kazi zingine za kufanya!!
 
Back
Top Bottom