Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Mh Rais SSH kasema vizuri. Kwa maneno mengine serikali iko kazini kuwa tafuta. Lakini kama wanao uhakika na ushahidi wa wakisemacho wa uweke mezani ufanyiwe kazi. Na hapa ndipo umuhimu ulipo. Unaweza kutaja majina ya watu lakini huwezi kusema walifanikisha vipi hicho unacho jaribu kuwa singizia? Mwisho wa siku inabaki kuwa ni uongo ulio kubuhu na umbea.
 
Mama hajamzungumzi kigogo hata kidogo.
Kuna mtu anaitwa Veronica France yuko FB alitoa taarifa kuwa JK na Rostam ndo wamempa JPM sumu akiwa Morogoro.
Huyu hapa ndio mpishi wa hizo habari.

Analia huku anapiga selfie kkkk
Screenshot_20210327-190256.jpg
 
Mh Rais SSH kasema vizuri. Kwa maneno mengine serikali iko kazini kuwa tafuta. Lakini kama wanao uhakika na ushahidi wa wakisemacho wa uweke mezani ufanyiwe kazi. Na hapa ndipo umuhimu ulipo. Unaweza kutaja majina ya watu lakini huwezi kusema walifanikisha vipi hicho unacho jaribu kuwa singizia? Mwisho wa siku inabaki kuwa ni uongo ulikubuhu na umbea.
Duh, hivi ameongea kidhungu?
 
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.

Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa.

Kwamba wapo watazua uongo juu ya taifa letu,viongozi na hata kuzuua taharuki lakini sababu wamejificha kupitia sayansi na teknolojia ya kisasa hili ni tatizo.
SUKUMA CO. & LTD
 
Hakuna asiyekamatika, niwape lonja tu kuwa huyo mzushaji wa FB anayejiita Veronica France ni Cyprian Musiba, anapotosha jamii sijui kwa faida ya nani wakati mume wake (meko) ameshakufa
 
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.

Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa.

Kwamba wapo watazua uongo juu ya taifa letu,viongozi na hata kuzuua taharuki lakini sababu wamejificha kupitia sayansi na teknolojia ya kisasa hili ni tatizo.
Jamani kwa hili la kuongelea umbeya wa mitandaoni nadhani mama yetu ameteleza; tumsamehe bure. Hata mm nimeshangaa sana Amiri Jeshi Mkuu kuongelea jambo jepesi kama lile lakini nadhani ni kwa sababu alikuwa amechoka hivyo akashindwa kuchanganua akili kwa haraka na kuachana nalo.
 
Mama yeye inatakiwa awapongeze Whistleblowers wa Mitandaoni, sio kuwafanya Maadui kama ilivyokuwa kwa Mwendazake.

Hizo sio 'Ngoma' kama anavyoziita, naamini kabisa akina Fatma na Maria Sarungi wanajenga ili tuwe na Nchi nzuri kwa wote.
 
Ningekuwa Mimi nisingemlisha maneno mkuu wa nchi.
Alichokisema ni kwamba watatafutwa na watapatikana.
Hiyo yako ya 'hawakamatiki' inatoka kwenye kipengele kipi kwenye hotuba ya mh. Rais?
 
Back
Top Bottom