Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,385
- 2,101
Mkuu Kuna mhalifu kule USA anatafutwa kwa muda mrefu. Polisi waliamua kuweka picha yake mitandaoni ili Kama Kuna anayemfahamu asaidie polisi. Matokeo yake huyo jamaa aliwalalamikia polisi kwa kuweka picha yake mbaya na akawatumia picha nzuri na kuwaomba waweke hiyo.Unawajua wamarekani wewe au unaongea kujifurahisha?