Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.

Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa.

Kwamba wapo watazua uongo juu ya taifa letu,viongozi na hata kuzua taharuki lakini sababu wamejificha kupitia sayansi na teknolojia ya kisasa kuwakamata ni mbinde
 
Sasa kwani wanakamatika?Hii technology mpaka leo wamarekani wanalialia chaguzi zao zinaingiliwa na nchi za kigeni.Rejea:Sakata la Joe Biden na Russia.Twitter Hawako tayari kutoa data za wateja wao!
 
Hebu soma tena ulichoandika halafu jipige kifuani mara mbili huku ukisema mimi mjinga.

Hivi nani asiyejua kuwa ukitumia VPN hata TCRA watumie mitambo ya Israel hawakupati?
 
Hebu soma tena ulichoandika halafu jipige kifuani mara mbili huku ukisema mimi mjinga.

Hivi nani asiyejua kuwa ukitumia VPN hata TCRA watumie mitambo ya Israel hawakupati?
Mama yako ndia mjinga kupanua mapaja akapelekewa shipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…