Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

Mh Rais SSH kasema vizuri. Kwa maneno mengine serikali iko kazini kuwa tafuta. Lakini kama wanao uhakika na ushahidi wa wakisemacho wa uweke mezani ufanyiwe kazi. Na hapa ndipo umuhimu ulipo. Unaweza kutaja majina ya watu lakini huwezi kusema walifanikisha vipi hicho unacho jaribu kuwa singizia? Mwisho wa siku inabaki kuwa ni uongo ulio kubuhu na umbea.
 
Duh, hivi ameongea kidhungu?
 
SUKUMA CO. & LTD
 
Hakuna asiyekamatika, niwape lonja tu kuwa huyo mzushaji wa FB anayejiita Veronica France ni Cyprian Musiba, anapotosha jamii sijui kwa faida ya nani wakati mume wake (meko) ameshakufa
 
Jamani kwa hili la kuongelea umbeya wa mitandaoni nadhani mama yetu ameteleza; tumsamehe bure. Hata mm nimeshangaa sana Amiri Jeshi Mkuu kuongelea jambo jepesi kama lile lakini nadhani ni kwa sababu alikuwa amechoka hivyo akashindwa kuchanganua akili kwa haraka na kuachana nalo.
 
Mama yeye inatakiwa awapongeze Whistleblowers wa Mitandaoni, sio kuwafanya Maadui kama ilivyokuwa kwa Mwendazake.

Hizo sio 'Ngoma' kama anavyoziita, naamini kabisa akina Fatma na Maria Sarungi wanajenga ili tuwe na Nchi nzuri kwa wote.
 
Ningekuwa Mimi nisingemlisha maneno mkuu wa nchi.
Alichokisema ni kwamba watatafutwa na watapatikana.
Hiyo yako ya 'hawakamatiki' inatoka kwenye kipengele kipi kwenye hotuba ya mh. Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…