Mkuu Kuna mhalifu kule USA anatafutwa kwa muda mrefu. Polisi waliamua kuweka picha yake mitandaoni ili Kama Kuna anayemfahamu asaidie polisi. Matokeo yake huyo jamaa aliwalalamikia polisi kwa kuweka picha yake mbaya na akawatumia picha nzuri na kuwaomba waweke hiyo.Unawajua wamarekani wewe au unaongea kujifurahisha?
kigogo sio mtu mmoja!Mama alikuwa anamzungumzia Kigogo.
Hawa uliowataja wanaonekana bila kurunzi.Mama yeye inatakiwa awapongeze Whistleblowers wa Mitandaoni, sio kuwafanya Maadui kama ilivyokuwa kwa Mwendazake.
Hizo sio 'Ngoma' kama anavyoziita, naamini kabisa akina Fatma na Maria Sarungi wanajenga ili tuwe na Nchi nzuri kwa wote.
Hata hao wengine kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa ajili ya kiokoa Tanzania yetu ni sawa hata wajificheHawa uliowataja wanaonekana bila kurunzi.
Veronica France anahisiwa kuwa Cyprian Musiba na Musiba ni usalama wa taifa. Unamkamataje kwa mfano?Kwa hiyo hakamatiki?
Duh, usalama hawashitakiwi wakikosea?Veronica France anahisiwa kuwa Cyprian Musiba na Musiba ni usalama wa taifa. Unamkamataje kwa mfano?
Mbona Magu alishindwa kumshika KigogoHii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.
Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa.
Kwamba wapo watazua uongo juu ya taifa letu,viongozi na hata kuzuua taharuki lakini sababu wamejificha kupitia sayansi na teknolojia ya kisasa hili ni tatizo.
Duh, ila mama yetu kasema wanatumia vidude fulani kiasi kwamba inakuwa ngumu kuwakamata.Hakuna asiyekamatika, niwape lonja tu kuwa huyo mzushaji wa FB anayejiita Veronica France ni Cyprian Musiba, anapotosha jamii sijui kwa faida ya nani wakati mume wake (meko) ameshakufa
Hukusikia kuwa wanatumia teknolijia amabayo ni ngumu kuwakamata? Acha ushabiki.Wewe utakuwa umesikia tu hukusikiliza- endelea kusambaza uongo na uzushi
Amesema vizuri kuwa kwa Tanzania bado hatujafikia kiwango kizuri cha Teknolojia ya kuwang'amua ila Serikali Itaendelea kuwatafuta.
Ameliwaje?Leo kaka vero kaliwa kichwa
Amesema vizuri kuwa kwa Tanzania bado hatujafikia kiwango kizuri cha Teknolojia ya kuwang'amua ila Serikali Itaendelea kuwatafuta.
Ameambiwa kama ana ushahidi kuwa Jiwe aliuliwa kwa sumu apeleke ushahidi sehemu husika na si kupiga kelele mtandaoni.Ameliwaje?
Wacha kabisa ujuha aiseee!
Kwa Nini asiwe Veronica Mana ndo anawapoint viongozi fulani .Mama alikuwa anamzungumzia Kigogo.
Huna akili ila umedandia mada ili uonekane. Au labda unatafuta wanaume wakuoeWacha kabisa ujuha aiseee!
Hivi unadhani watu humu JF ni wapumbavu?
Mtu aliyekuwa na mabunduki yote yale, tena ya kuwatishia watu mitaani, Hivyo visindano, sijui vya sumu...!
Sasa sisi ni wajinga kiasi gani kutaka kutuaminisha upuuzi huu?
Hayo mabunduki yalikuwa ni ya maonyesho?
Ataishiaje kufanya maonyesho na asiwe na akili za kujilinda na vijisindano? Tena vijisindano vyenyewe sio vya kuua hapo kwa hapo?
Mama hajamzungumzi kigogo hata kidogo.
Kuna mtu anaitwa Veronica France yuko FB alitoa taarifa kuwa JK na Rostam ndo wamempa JPM sumu akiwa Morogoro.