KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Eeeenh Heeee,Huna akili ila umedandia mada ili uonekane. Au labda unatafuta wanaume wakuoe
Kaa kimya,jali maisha yako.Eeeenh Heeee,
Nyankurungu2020, umeanza lini kuwa na akili timamu!
Kwa hiyo unadhani hayo uliyoandika hapo yatanisumbua akili?
Akikujibu uni-tagVipi ww unaweza kukamata tukupe kazi hiyo?
Jamani kwa hili la kuongelea umbeya wa mitandaoni nadhani mama yetu ameteleza; tumsamehe bure. Hata mm nimeshangaa sana Amiri Jeshi Mkuu kuongelea jambo jepesi kama lile lakini nadhani ni kwa sababu alikuwa amechoka hivyo akashindwa kuchanganua akili kwa haraka na kuachana nalo.
Hata hao wengine kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa ajili ya kiokoa Tanzania yetu ni sawa hata wajifiche
Wewe huna maisha?Kaa kimya,jali maisha yako.
Osama bin Laden wamemtafuta kwa miaka mingap?Unawajua wamarekani wewe au unaongea kujifurahisha?