Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.

Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi kubwa ya wagonjwa kufariki kwenye hospitali mbali mbai za Gaza baada ya kukatiwa huduma zote za kihospitali ikiwemo umeme,maji na chakula pamoja na madawa.

Mapema akitoa taarifa yake leo,meneja wa hospitali ya alshifaa amesema wagonjwa wote 22 kwenye vyumba vya mahututi wamekufa kutokana na kukosa huduma na hewa ya oxygen.

Hayo yakitokea Gaza hospitali nyengine zimeendelea kuvamiwa kule ukanda wa magharibi sambamba na mashambulizi ya kijeshi kwenye kambi kadhaa za wakimbizi kwani idadi kubwa ya wapalestina wa maeneo hayo wanaishi kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jenin na Tulkarem.
 
Kwani October 7 hao UN waliweza kuzuia vifo 1400 vya wayahudi waliouawa na Hamas? Mbona mnaangalia upande mmoja wapalestina

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Waliokufa kila siku idadi inashushwa kwa vile hakuna uhakika.Sasa wamefikia 1200.Lakini hata wakiwa jidadi hiyo ndio sawa na 12000 na kubomoa majengo ya jiji zima.

Tukirudi nyuma na wapalestina nao wanaweza kuuliza kwani mwaka 1947/48 mlipotuua kwa maelfu na kutuvunjia majumba yetu hamkujua kuwa kuna siku na sisi tutarudisha mapigo japo ngumi moja ?
 
Si mlisema Israel ikiingiza majeshi yake Gaza watarudi kwenye majeneza,mkatuoneshea vifaru vya Israel vinalipuliwa,mara idf wanachomwa moto sasahivi mnalilia nini kutafuta huruma baada ya kuzidiwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hayo maafa kwa IDF hayajasimama mpaka leo. Kila data zikiwashwa kuna vingine vinaoneshwa vikiwa chakavu
Pamoja na hivyo Israel ikipunguza kiburi chake nafuu itapatikana kwake na kwa Palestina.

Kinyume chake wakijiamini wana nguvu sana na wako Gaza mambo yanaweza kuwageukia muda wowote kuanzia sasa. Allah ni muweza wa kila jambo na huleta nusra na ushindi sehemu watu wamekata tamaa kabisa.
 
Kwa nn tarehe 7 walienda kufanya fujo Israel hawaku fore see consequences?
Unataka kuniambia kesi ya Israel na Palestina unaijua kuanzia October 7, 2023? Hujui ata kuwa Gaza imeshamegwa kias cha kutosha na ardhi yake kuchukuliwa na Israe? Iangalie mipaka ya Gaza 1947 UN ilivyokagawa then angalia mwaka 1986 kabla ya kuanzishwa ata kwa ao Hamas!

Tuseme sawa Hamas walikosea kuishambulia Israel kama unavyoona wewe, vip hapa chini kuna taarifa juzi wanajeshi wa Israel waliingia Ukingo wa Magharibi! Walichokozwa?
img20231114112338-jpg.2816790
IMG20231114112154.jpg
 
Attachments

  • IMG20231114112338.jpg
    IMG20231114112338.jpg
    1.2 MB · Views: 6
Waliokufa kila siku idadi inashushwa kwa vile hakuna uhakika.Sasa wamefikia 1200.Lakini hata wakiwa jidadi hiyo ndio sawa na 12000 na kubomoa majengo ya jiji zima.
Tukirudi nyuma na wapalestina nao wanaweza kuuliza kwani mwaka 1947/48 mlipotuua kwa maelfu na kutuvunjia majumba yetu hamkujua kuwa kuna siku na sisi tutarudisha mapigo japo ngumi moja ?
Sasa wapalestina wamerudisha mapigo na Israel nae anarudisha mapigo pia sasa mnalia nini? Si Hamas waendelea kupigana na Israel walipoenda kuichokoza Israel wakarudi kujifichia Gaza kwenye mashule, hospital na mateka wa Israel mlitegemea Israel itaogopa kujibu mapigo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuniambia kesi ya Israel na Palestina unaijua kuanzia October 7, 2023? Hujui ata kuwa Gaza imeshamegwa kias cha kutosha na ardhi yake kuchukuliwa na Israe? Iangalie mipaka ya Gaza 1947 UN ilivyokagawa then angalia mwaka 1986 kabla ya kuanzishwa ata kwa ao Hamas!

Tuseme sawa Hamas walikosea kuishambulia Israel kama unavyoona wewe, vip hapa chini kuna taarifa juzi wanajeshi wa Israel waliingia Ukingo wa Magharibi! Walichokozwa?
img20231114112338-jpg.2816790
View attachment 2816793
Israel inatumia mwanya wa Gaza kutekeleza ajenda yao nyengine kwa ukingo wa magharibi.Wamewapenyeza watu wao ndani ya maeneo ya wapalestina na kila mmoja amepewa silaha na risasi kwa kusingizio cha kujilinda.Huwa wanaua tu pasipo kuchokozwa.
 
Sasa wapalestina wamerudisha mapigo na Israel nae anarudisha mapigo pia sasa mnalia nini? Si Hamas waendelea kupigana na Israel walipoenda kuichokoza Israel wakarudi kujifichia Gaza kwenye mashule, hospital na mateka wa Israel mlitegemea Israel itaogopa kujibu mapigo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wakijibu mapigo wabaki na akili zao timamu.Wasipige watoto na wagonjwa.Kama hawajawapata Hamas warudi kwao.
 
Hayo maafa kwa IDF hayajasimama mpaka leo.Kila data zikiwashwa kuna vingine vinaoneshwa vikiwa chakavu
Pamoja na hivyo Israel ikipunguza kiburi chake nafuu itapatikana kwake na kwa Palestina.Kinyume chake wakijiamini wana nguvu sana na wako Gaza mambo yanaweza kuwageukia muda wowote kuanzia sasa.Allah ni muweza wa kila jambo na huleta nusra na ushindi sehemu watu wamekata tamaa kabisa.
Ukishaingiza neno Allah Basi najua Ni wale empty set hamna kitu kichwani.
 
Unataka kuniambia kesi ya Israel na Palestina unaijua kuanzia October 7, 2023? Hujui ata kuwa Gaza imeshamegwa kias cha kutosha na ardhi yake kuchukuliwa na Israe? Iangalie mipaka ya Gaza 1947 UN ilivyokagawa then angalia mwaka 1986 kabla ya kuanzishwa ata kwa ao Hamas!

Tuseme sawa Hamas walikosea kuishambulia Israel kama unavyoona wewe, vip hapa chini kuna taarifa juzi wanajeshi wa Israel waliingia Ukingo wa Magharibi! Walichokozwa?
img20231114112338-jpg.2816790
View attachment 2816793
Wengi wanaropoka tu, si wafatiliaji
 
Waliokufa kila siku idadi inashushwa kwa vile hakuna uhakika.Sasa wamefikia 1200.Lakini hata wakiwa jidadi hiyo ndio sawa na 12000 na kubomoa majengo ya jiji zima.
Tukirudi nyuma na wapalestina nao wanaweza kuuliza kwani mwaka 1947/48 mlipotuua kwa maelfu na kutuvunjia majumba yetu hamkujua kuwa kuna siku na sisi tutarudisha mapigo japo ngumi moja ?
Waendelee kurudisha mapigo na Akili zao visoda. Waisrael wapate sababu ya kuimega palestina.Wapalestina wasipoamua kutumia akili sawasawa. Itakula kwao kila Mara. Ile idadi ambayo wapalestina wanoua Israel unaizidisha Mara kumi wakilipiza na ndicho kinachoendelea Sasa.
 
Hayo maafa kwa IDF hayajasimama mpaka leo. Kila data zikiwashwa kuna vingine vinaoneshwa vikiwa chakavu
Pamoja na hivyo Israel ikipunguza kiburi chake nafuu itapatikana kwake na kwa Palestina.

Kinyume chake wakijiamini wana nguvu sana na wako Gaza mambo yanaweza kuwageukia muda wowote kuanzia sasa. Allah ni muweza wa kila jambo na huleta nusra na ushindi sehemu watu wamekata tamaa kabisa.
Acha uongo bwana, allah hana uwezo huo yeye anategemea watu ndio eti wampiganie na eti wakifa kwenye jihad basi wanaenda ahera kupewa mabikra 72 na Haineken inayotiririka kwenye mito, huyo ndie allah, mungu wa waarabu.
 
Hivi Mungu aliyeibariki Israel ndio Mungu huyo huyo ambaye watu huwa wakisifu kuwa Mungu wao ni Mungu wa upendo na amani?
Ina maana haya mashambulizi ya Israel kwa Palestina yanahusika moja kwa moja na huyo Mungu kwa maana ndivyo anavyolilinda taifa lake teule?
 
Back
Top Bottom