Mkuu wa Wagner asema wakuu wa majeshi ya Urusi wafunguliwe mashtaka kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu

Mkuu wa Wagner asema wakuu wa majeshi ya Urusi wafunguliwe mashtaka kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote.

Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko.

===

Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate whether senior Russian defence officials had committed any "crime" before or during the war in Ukraine.

Prigozhin's request is his most blatant public challenge to date against President Vladimir Putin's top military brass, Defence Minister Sergei Shoigu and Chief of the General Staff Valery Gerasimov.

The 61-year-old restaurateur-turned-mercenary has spent months insulting both Shoigu and Gerasimov, who are leading Russia's war effort, for alleged treachery. Neither has responded publicly to his criticism.

"Today I have sent letters to the Investigative Committee and the Prosecutor's Office of the Russian Federation with a request to check on the fact of the commission of a crime during the preparation and during the conduct of the SMO (Special Military Operation) by a host of senior functionaries of the Defence Ministry," Prigozhin said.

"These letters will not be published due to the fact that the investigative authorities will deal with this."
 
Source? reuters - unategemea nini kutoka kwenye mashirika ya habari ya Uingereza ambayo ni rabid hater wa every thing Russian by default - rudia kusoma taarifa nzima, personally naziona they don't contain any substance zimetungwa tu na western MSM for political reasons namely all is not well in Russian inner circle leadership - habari za kubumba tu, ndio walivyo.
 
Nishakwambia ulete source za waarabu wenu, kazi yako kuponda source kwenye chochote kinachokuliza.
 
Hawakuwa hata na plan B. Halafu walizidi kuwa na over confident kabla ya kuanza hii vita magharibi walivyokuwa wanawasihi hado macron kwenda Moscow.
Walijiona supa-pawa kumbe ni masikini jeuri tu.
 
Nnachofurahi,
Prigo anajua kucheza vzur na akil za mashoga, anawajaza upepo balaa[emoji28]
 
Katika kitabu cha "Art of War" cha Commander Tsu Zu ameshauri kuwa ni hatari kuwatunia mamluki" Mercenaries " katika vita , Mara kadhaa ni wasaliti sana.

Nadhani Serikali ya US inavo deal na Blackwater company ni tofauti na Putin towards hawa jamaa zake.

Budget nadhani ni changamoto.
 
Source? reuters - unategemea nini kutoka kwenye mashirika ya habari ya Uingereza ambayo ni rabid hater wa every thing Russian by default - rudia kusoma taarifa nzima, personally naziona they don't contain any substance zimetungwa tu na western MSM for political reasons namely all is not well in Russian inner circle leadership - habari za kubumba tu, ndio walivyo.
Kwahiyo hizi video anazoongea kiongozi wa Wagner karusha shemeji yako!?
 
Sikujua kama urusi ni Taifa dhaifu hivi!! Yani bakhmut size SQ km 53 amechukua mwaka na zaidi!? Poor Russia!!
 
Katika kitabu cha "Art of War" cha Commander Tsu Zu ameshauri kuwa ni hatari kuwatunia mamluki" Mercenaries " katika vita , Mara kadhaa ni wasaliti sana.

Nadhani Serikali ya US inavo deal na Blackwater company ni tofauti na Putin towards hawa jamaa zake.

Budget nadhani ni changamoto.
Putin anahali mbaya sana anajuta kuanzisha hivi vita
 
Nnachofurahi,
Prigo anajua kucheza vzur na akil za mashoga, anawajaza upepo balaa[emoji28]
Na wao walivyo mazezeta wanaendela kurubuniwa na propaganda au tuseme uongo wa kutunga kisomi - Zelensky na jeshi lake na USA wanaendelea kuingizwa mjini na Prog - mfano kuna wakati alijitia kuwafokea majenetali wa Urusi na kijifanya wanajeshi ea Urusi wameshindwa kwenda mbele ndio maana wamehamua kurudi nyuma - Zelensky na USA wakaona hapo hapo huo ndio muda mzuri wa kuanzisha massive counter offensive sasa kilikuja kutokea baadae jeshi la Ukraine ambalo kwa siku za hivi karibuni wengi wao na wanajeshi wa NATO hasa Poland na US wame uwawa kweli kweli na jeshi la Urusi baaada ya kuwawekea mtego wakaingia kichwa wakafyekelewa mbali pamoja na silaha zao nyingi za US kutiwa kiberiti - kuna habari za kuaminika kwamba US inataka kuaongoza NATO wenzake kuishambulia au vamia Urusi katikati ya mwezi huu, Biden amekwisha kata shauri kwamba. ni afadhali NATO washirikiane kuanzisha WW3 dhidi ya Urusi kuliko kuona Urusi ikishinda vita nchini Ukraine, huo ndio uwenda wazimu wa Biden
unapo tupeleka akili zake zinamtuma kwamba anaweza kumshinda Urusi. kivita - akili nyingine bwana taabu tupu.
 
Back
Top Bottom