Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hawatafanikiwa kwa kuwa hawana uwezo huo.Matajiri wa Russia wanamwinda huyu Matakore PUTIN . Watamuua tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatafanikiwa kwa kuwa hawana uwezo huo.Matajiri wa Russia wanamwinda huyu Matakore PUTIN . Watamuua tuuu
Huyu jamaa kila habari mbaya inatoka source za West anakataa lakini cha ajabu ikija habari nzuri nzuri za kumfurahisha toka kwenye vyanzo hivyohivyo wala haulizi wala kupinga hiyo habari badala yake anakuja na andiko moja refuuu.Nishakwambia ulete source za waarabu wenu, kazi yako kuponda source kwenye chochote kinachokuliza.
"inataka kuaongoza NATO wenzake kuishambulia au vamia Urusi katikati ya mwezi huu, Biden amekwisha kata shauri kwamba. ni afadhali NATO washirikiane kuanzisha WW3 dhidi ya Urusi kuliko kuona Urusi ikishinda vita nchini Ukraine, huo ndio uwenda wazimu wa Biden"Na wao walivyo mazezeta wanaendela kurubuniwa na propaganda au tuseme uongo wa kutunga kisomi - Zelensky na jeshi lake na USA wanaendelea kuingizwa mjini na Prog - mfano kuna wakati alijitia kuwafokea majenetali wa Urusi na kijifanya wanajeshi ea Urusi wameshindwa kwenda mbele ndio maana wamehamua kurudi nyuma - Zelensky na USA wakaona hapo hapo huo ndio muda mzuri wa kuanzisha massive counter offensive sasa kilikuja kutokea baadae jeshi la Ukraine ambalo kwa siku za hivi karibuni wengi wao na wanajeshi wa NATO hasa Poland na US wame uwawa kweli kweli na jeshi la Urusi baaada ya kuwawekea mtego wakaingia kichwa wakafyekelewa mbali pamoja na silaha zao nyingi za US kutiwa kiberiti - kuna habari za kuaminika kwamba US inataka kuaongoza NATO wenzake kuishambulia au vamia Urusi katikati ya mwezi huu, Biden amekwisha kata shauri kwamba. ni afadhali NATO washirikiane kuanzisha WW3 dhidi ya Urusi kuliko kuona Urusi ikishinda vita nchini Ukraine, huo ndio uwenda wazimu wa Biden
unapo tupeleka akili zake zinamtuma kwamba anaweza kumshinda Urusi. kivita - akili nyingine bwana taabu tupu.
Nime watadhalisha west kuhusu ujanja ambao Prog anautumia kuwachota akili jeshi la Ukraine NATO pamoja na USA anawaacha propaganda zake za kisomi/kijasusi ziwafanye unsuspecting western leadership wanameza a bait, hook and the sinker wakisha ingia kumi na nane zake wanafyekelewa mbali na silaha zao na maghara yanayo ifadhi silaha hasa za US kitiwa kiberiti kirahisi sana - vita ya Uktaine imeonyesha mapunguvu makubwa kwenye uwezo wa silaha za Merikani zilizo kuwa zimapigiwa debe na vyombo vya habari vya magharibu karibu Dunia nzima kuhusu uwezo wake na kuziponda silaha za Urusi na Uchina, lakini vita ya Ukraine vimeomyesha mambo mawali tofauti kabisa.Huyu jamaa ni jasusi In nature..... anaendelea kuwachezesha .....
Mkiingia kwenye anga zake mmekwishaaa [emoji1][emoji1][emoji1]