Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.

Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni Wimbo wa Taifa.
 
Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
 
Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya f

Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Na upuuzi huu inaezekana kufanywa na CCM tu maana wametuona Wananchi sisi ni mazuzu kabisa hakuna Cha kuwafanya
 
Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Atakua kanuna kaondoka huyo DC
 
Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Ukienda kua mkuu wa wilaya usiniache
 
Basi wamwambie aingie tu ndani watarudia kuimba tena akiwepo.maana mambo mengine hayahitaji nguvu zaidi ya kutumia tu busara. Akigoma tena pia kuingia ndani wamwambie nitakuja kuongoza wilaya hiyo bure kabisa mpaka wananchi wabaki Wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.
Mzalendo Lucas katika ubora wako.
 
Hii imetokea huko mbulu mkoani manyara hii Leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la madiwani kwasababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.

Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni Wimbo wa Taifa.
Hawa wajinga wanalipwa pesa za bure
 
Back
Top Bottom