Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh.Salum Ali Hapi ni mzalendo....Unafikiri mama hamjui huyu dogo wa kucharaza viboko watu? Anamjua sana, na wengine mafaili yao yapo wazi kwake, shida tu mama anawastahi na kuwapa second chance watu wa Mwendazake. Sina uhakika kama Ali Happi atatoboa kwenye huu utawala
Majungu tu hayo....Yani wewe nae ni laana tupu hata kwa jamii yani umeumizwa na magari kuwashwa taa tuu..? haya mfukuzeni hahahaha vijana mnachojua ni majungu tuuu
Akibadili tabia atadumu. Ila kama ataanza vyodo zilizomlaza makaburini kule Iringa, hatoboiMh.Salum Ali Hapi ni mzalendo....
Mh.Salum Ali Hapi ni RC wa MARA....
YUPO......
#KaziIendelee
Mkuu umekata mzizi wa fitina kabisa hiyo mikoa miwili kila siku ma DC na RC wanaoneka wabaya tu gambo wakati wake alikuwa strong sana na alifanya kazi nzuri sana,hao wafanya biashara na wanasiasa hasa hao wawili ni shida sana wanataka waangaliwe tu kwa chochote wanachotaka hata kama si halali kwa manufaa yao binafsi, suala la Sabaya kuna uwezekano mkubwa kuna watu nyuma yake wameunda hayo mambo busara na umakini unahitajika sana maana kila kukicha watu wanaibuka tu sijui kabla walikuwa wapi.Majungu si MTAJI useme utafanikiwa.......
Baadhi ya watu wa ARUSHA NA KILIMANJARO hawawapendi MADC NA MARC wenye misimamo dhidi ya "MADILI YAO"...
Yaani kusikia tu mh.Rais anaandaa "MKEKA WA MADC" basi watu wanajiandaa kuwachafua WENGINE(TARNISHING OF IMAGE)....
#KaziIendelee
Aisee hebu tulizeni makalio Tuteuliwe kwanza.Hahah, umeamua kumsagia kunguni kwa Mama kabla mkeka haujatoka?
Kwenye ule mkeka wa mama atarudi kweli huyu
Hahahahaaaa! Majungu yake yamepata tiba sahihi.Huo ni wivu tu mkuu, sasa nimepewa nafasi adhim kama hyo unataka nitembee kimyakimya kisa nini..? Kama lory la askari nitatembea nalo kozi nimepewa dhamana ya kulinda vitu Vingi na yenye thamani ndani ya wilaya.. So maadui hawatokosekana dhidi yangu.
Inaonesha wewe ni moja kati ya Wakuu wa wilaya wanaoteseka sana na Mkeka mpya wa maDC kutoka kwa Mama ambao umesheheni majina mengi ya vijana.
Sasa nasema hivi wewe umezeeka na wakati wako ushapita huu ni wakati wa vijana na Mama yetu..
Mkuu wangu we acha tu kaka....Mkuu umekata mzizi wa fitina kabisa hiyo mikoa miwili kila siku ma DC na RC wanaoneka wabaya tu gambo wakati wake alikuwa strong sana na alifanya kazi nzuri sana,hao wafanya biashara na wanasiasa hasa hao wawili ni shida sana wanataka waangaliwe tu kwa chochote wanachotaka hata kama si halali kwa manufaa yao binafsi, suala la Sabaya kuna uwezekano mkubwa kuna watu nyuma yake wameunda hayo mambo busara na umakini unahitajika sana maana kila kukicha watu wanaibuka tu sijui kabla walikuwa wapi.