Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,406
Ndugu mleta post nipo jijini arusha. DC ni mtu mmoja smart sana. Anafanya kazi zake kwa weledi sana. Anajituma sana ila kama una wivu huwezi kukubali.
Kuhusu kuchapa wanunua viti na meza za shule binafsi nampongeza sana.
Kiti na meza chenye thamani ya elfu 60 hadi laki moja kinauzwa kwa sh elfu 5 kisha wanafunzi wanakaa chini unadhani ni sahihi? Hata wewe unastahili viboko. Aliyekutwa na ngozi ni mwizi...