Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

Heshima sana wanajamvi,

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza.Katika siku za karibu amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa Covid 19 anakimbizwa Hospital kuwahi huduma za kitabibu.

Mwezi uliopita kama kumbukumbu zangu zipo sana alizindua mradi mdogo {mradi uchwara} wa kufyatua matofali wa halmashauri ya Jiji la Arusha.Huo msafari ungefikiri anakwenda kuzindia kinu cha Nyuklia gari zilikuwa zinakimbizwa,ving'ora na taa za magari yote zikiwashwa full light.Tutakae tukubali Vijana wakipewa madaraka kidogo wanaharibu sana,wanaumiza wananchi sana,wanatumia madaraka vibaya sana bahati mbaya Mkuu wa Wilaya ya Arusha yumo katika kundi hilo.

Mwaka jana alishiriki zoezi la kuwachapa viboko wafanyabiashara kwa madai ya kununua thamani za shule.DC kawa mpelelezi,akajivika ujaji na mwisho wa siku akamalizia kudhalilisha wananchi pasipo uchunguzi wa haki.
Daaah huyu sindio yule alichezeaga vitasa vya sir-buyer??
 
Sema vijana tunaoneana wivu sana pia. Kila la kheri kwake mkuu wa wilaya
 
Watu wa huko Arusha mnamatatizo makubwa, mtakuja kunyukana ninyi kwa ninyi, kisa hamtaki kuon mmoja wenu ana cheyo ama ni kiongozi nje ya Chadema,

Endelezeni huo upumbavu wenu wa kijinga na wivu wenu usio na manufaa
 
Heshima sana wanajamvi,

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza.Katika siku za karibu amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa Covid 19 anakimbizwa Hospital kuwahi huduma za kitabibu.

Mwezi uliopita kama kumbukumbu zangu zipo sana alizindua mradi mdogo {mradi uchwara} wa kufyatua matofali wa halmashauri ya Jiji la Arusha.Huo msafari ungefikiri anakwenda kuzindia kinu cha Nyuklia gari zilikuwa zinakimbizwa,ving'ora na taa za magari yote zikiwashwa full light.Tutakae tukubali Vijana wakipewa madaraka kidogo wanaharibu sana,wanaumiza wananchi sana,wanatumia madaraka vibaya sana bahati mbaya Mkuu wa Wilaya ya Arusha yumo katika kundi hilo.

Mwaka jana alishiriki zoezi la kuwachapa viboko wafanyabiashara kwa madai ya kununua thamani za shule.DC kawa mpelelezi,akajivika ujaji na mwisho wa siku akamalizia kudhalilisha wananchi pasipo uchunguzi wa haki.
siku zake zinahesabika hapa Arusha.
Kuna wanafunzi wa jinsia flni pale Makumira university wanamlalamikia, okay , yana mwisho haya mambo.
 
Watu wa kanda yenu mmejaa kijicho sana nyinyi, mmejaa ukabila kiasi kwamba hamtaki kiongozi yeyote nje ya mzao wa kwenu, na hata akiwa nje ya chama chenu pendwa,napo hamtaki awaongoze

Nashangaa sana, kipindi cha nyuma hamkuwa na ujinga huu ambao sasa unashika kasi, Kuchukia wasiowenyeji, hamtaki wasio wenyeji kuwa viongozi wenu, Hicho chama chenu endapo ndio kimekuwa chanzo cha siasa hizi, ni bora mkaachana nacho mkajali maendeleo ya mkoa wenu, maana bila mchanganyiko wa watu, ni wivu na kijicho,

Acheni unaa aroo!!
 
Vipi amepora mali za wafanyabiashara au kuchukua rushwa je ameingia kwenye duka lolote la kubadilishia fedha kwa mitutu na mabaunsa vipi anachukua wadada na kuwalala kilazima na mabaunsa wake wakiona?
 
Mwambie hapo soko kuu mitaro yote imeziba,kwa kujaa uchafu pia kuna baadhi ya mitaro inapitisha maji yenye kinyesi n kuleta harufu kali....jiji linachangamoto nyingi sana
Ni kweli mkuu nashangaa sana nikiona watu wakimsema vibaya.
Jambo lingine lililonifurahisha kwenye ziara zake wakati wa kutatua kero za wananchi, wakati mwananchi anapewa maiki aseme tatizo lake alikuwa akiwakemea wale wanaoanza kusifia ccm ndipo waseme matatizo yao.
Alikuwa akiwaambia, (hapa hatupo kwenye mkutano wa ccm! Sema shida yako tukusaidie).
Kuna ziara tulienda nae kule Kimandolu kwenye soko moja sasa yule mkuu wa soko akamleta kibega mmoja ambaye inasemekana aba tabia ya kupora mizigo ya watu sokoni, huyo kibega akaanza kujitetea kwa mkuu wa wilaya ila mwisho mkuu wa wilaya akamkabidhi kwa mkuu huyohuyo wa soko akamwambia huyu kwa kuwa ameomba msamaha, namuacha kwako uwe mwangalizi wake. Akiiba tena mlete kwangu au nipigie simu nitume gari la polisi.

Kuna migogoro mingi ametatua mbele ya macho yangu mpaka nikafikiria serikali ilikuwa wapi muda wote?
Migogoro mingine mingi ilikuwa ndani ya ofisi aliyopokea kutoka kwa mkuu wa wilaya aliyepita ila yeye aliishughulikia kikawaida kabisa na ana kawaida ya kwenda kwenye eneo lenye mgogoro.

Wakuu wengine wanapambana kutatua matatizo ya wananchi wakiwa kwenye ofisi zao lakini huyu wa Arusha anaenda sehemu husika akiwa na viongozi wote wa ngazi ya chini
 
Watu wa kanda yenu mmejaa kijicho sana nyinyi, mmejaa ukabila kiasi kwamba hamtaki kiongozi yeyote nje ya mzao wa kwenu, na hata akiwa nje ya chama chenu pendwa,napo hamtaki awaongoze

Nashangaa sana, kipindi cha nyuma hamkuwa na ujinga huu ambao sasa unashika kasi, Kuchukia wasiowenyeji, hamtaki wasio wenyeji kuwa viongozi wenu, Hicho chama chenu endapo ndio kimekuwa chanzo cha siasa hizi, ni bora mkaachana nacho mkajali maendeleo ya mkoa wenu, maana bila mchanganyiko wa watu, ni wivu na kijicho,

Acheni unaa aroo!!
Mbona sabaya ni WA Kaskaskizin ila alikuwa ana fanya madudu Moshi na Arusha na kuonea watu heri hata ya huyo kenani kihongosi, mtu akihatibu awajibishwe na isisingiziwe roho ya kijicho, mbona hai wamepita viongoz wengi na hawakulaumiwa, ikiwemo RC mgwira, shiida ilikuwa teuzi za magufuli kukomoa wananchi na sehemu alizokuwa anazichukia kwa kupeleka wapuuzi na waharibifu ka makonda na huyo sabaya
 
Ni kweli mkuu nashangaa sana nikiona watu wakimsema vibaya.
Jambo lingine lililonifurahisha kwenye ziara zake wakati wa kutatua kero za wananchi, wakati mwananchi anapewa maiki aseme tatizo lake alikuwa akiwakemea wale wanaoanza kusifia ccm ndipo waseme matatizo yao.
Alikuwa akiwaambia, (hapa hatupo kwenye mkutano wa ccm! Sema shida yako tukusaidie).
Kuna ziara tulienda nae kule Kimandolu kwenye soko moja sasa yule mkuu wa soko akamleta kibega mmoja ambaye inasemekana aba tabia ya kupora mizigo ya watu sokoni, huyo kibega akaanza kujitetea kwa mkuu wa wilaya ila mwisho mkuu wa wilaya akamkabidhi kwa mkuu huyohuyo wa soko akamwambia huyu kwa kuwa ameomba msamaha, namuacha kwako uwe mwangalizi wake. Akiiba tena mlete kwangu au nipigie simu nitume gari la polisi.

Kuna migogoro mingi ametatua mbele ya macho yangu mpaka nikafikiria serikali ilikuwa wapi muda wote?
Migogoro mingine mingi ilikuwa ndani ya ofisi aliyopokea kutoka kwa mkuu wa wilaya aliyepita ila yeye aliishughulikia kikawaida kabisa na ana kawaida ya kwenda kwenye eneo lenye mgogoro.

Wakuu wengine wanapambana kutatua matatizo ya wananchi wakiwa kwenye ofisi zao lakini huyu wa Arusha anaenda sehemu husika akiwa na viongozi wote wa ngazi ya chini
Na Viboko nayo njia Mkuu?
 
Mbona sabaya ni WA Kaskaskizin ila alikuwa ana fanya madudu Moshi na Arusha na kuonea watu heri hata ya huyo kenani kihongosi, mtu akihatibu awajibishwe na isisingiziwe roho ya kijicho, mbona hai wamepita viongoz wengi na hawakulaumiwa, ikiwemo RC mgwira, shiida ilikuwa teuzi za magufuli kukomoa wananchi na sehemu alizokuwa anazichukia kwa kupeleka wapuuzi na waharibifu ka makonda na huyo sabaya
Za chinichini zilizopo, na ziwe hivyohivyo zisiwe za kweli, ni kuna Uchaga na umaasai hapo
 
Watanzania kwa majungu ndio maana kuendelea kwetu ni kama tembo kupita kwenye tundu la sindano.

Unaona anafaidi enhee?
 
Heshima sana wanajamvi,

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza.Katika siku za karibu amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa Covid 19 anakimbizwa Hospital kuwahi huduma za kitabibu.

Mwezi uliopita kama kumbukumbu zangu zipo sana alizindua mradi mdogo {mradi uchwara} wa kufyatua matofali wa halmashauri ya Jiji la Arusha.Huo msafari ungefikiri anakwenda kuzindia kinu cha Nyuklia gari zilikuwa zinakimbizwa,ving'ora na taa za magari yote zikiwashwa full light.Tutakae tukubali Vijana wakipewa madaraka kidogo wanaharibu sana,wanaumiza wananchi sana,wanatumia madaraka vibaya sana bahati mbaya Mkuu wa Wilaya ya Arusha yumo katika kundi hilo.

Mwaka jana alishiriki zoezi la kuwachapa viboko wafanyabiashara kwa madai ya kununua thamani za shule.DC kawa mpelelezi,akajivika ujaji na mwisho wa siku akamalizia kudhalilisha wananchi pasipo uchunguzi wa haki.
Acha wivu, tafuta shughuli ufanye. kukosa kwako shughuli ndo kunakufanya uwaonee wanaume wenzio wivu na kuanza kupika majungu. Nakushauri nenda kauze hata njugu hutopata muda wa kuleta umbea humu.
 
Heshima sana wanajamvi,

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza.Katika siku za karibu amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa Covid 19 anakimbizwa Hospital kuwahi huduma za kitabibu.

Mwezi uliopita kama kumbukumbu zangu zipo sana alizindua mradi mdogo {mradi uchwara} wa kufyatua matofali wa halmashauri ya Jiji la Arusha.Huo msafari ungefikiri anakwenda kuzindia kinu cha Nyuklia gari zilikuwa zinakimbizwa,ving'ora na taa za magari yote zikiwashwa full light.Tutakae tukubali Vijana wakipewa madaraka kidogo wanaharibu sana,wanaumiza wananchi sana,wanatumia madaraka vibaya sana bahati mbaya Mkuu wa Wilaya ya Arusha yumo katika kundi hilo.

Mwaka jana alishiriki zoezi la kuwachapa viboko wafanyabiashara kwa madai ya kununua thamani za shule.DC kawa mpelelezi,akajivika ujaji na mwisho wa siku akamalizia kudhalilisha wananchi pasipo uchunguzi wa haki.
Huyu dc wa Arusha ni wakufukuza ni Sabaya group
 
Huyu Mhe. Sijajua elimu Yake. Ila nataarifiwa hapa mkeka tayari.
 
Yani wewe nae ni laana tupu hata kwa jamii yani umeumizwa na magari kuwashwa taa tuu..? haya mfukuzeni hahahaha vijana mnachojua ni majungu tuuu
Kama ujui vile .huyu Ndio aliemwachiaga sabaya kuingia Arusha mjini kutenda madhambi .huyu ni timu moja
 
Za chinichini zilizopo, na ziwe hivyohivyo zisiwe za kweli, ni kuna Uchaga na umaasai hapo
Hamna Cha umasai hapo mbona sabaya alikuwa anafanya uhalifu Hadi Arusha kwao.
 
Back
Top Bottom