Hii nchi kila siku mnasema bado changa lini itakuwa basi kila kukicha changa uchanga huu wapi hasaSisi tunaangalia theme ya andiko. Lengo la andiko ni kumchafua mtu.
Wewe unamfahamu. Wengine unadhani wanaweza ondoka na maana gani. Tunatakiwa kuwa positive nchi yetu bado changa sana na maskini.
Kazi ipo kweli kweli...!!
Hivi hapa Tanzania, umeshawahi kusikia mtu binafsi (individual) ana mamlaka ya kuweka mipaka ya wilaya, yaani mtu binafsi anaamua mpaka kati ya wilaya fulani na wilaya nyingine upite hapa..!!
Hii ni kazi ya serikali (wizara ya ardhi na tamisemi). Lakini kule Kisarawe hii ni kazi ya wafugaji wa wilaya hiyo.
Wanaamua mpaka wa wilaya yao ya Kisarawe uwe hapa... hivyo 'wanajimegea' maeneo makubwa ya wilaya jirani huku mkuu wa wilaya akiangalia tu..!!
Amini usiamini hii imetokea Tanzania hii hii yetu, tena mwaka huu huu 2016.
Kazi ipo...!!!
Wananchi wa kawaida vijijini ni waoga sana, wanawaona viongozi kama 'simba' wala watu.Poleni sana jamani ndiyo viongozi wetu hawa, nashauri wananchi wafungue kesi mahakamni.
Wananchi wa kawaida vijijini ni waoga sana, wanawaona viongozi kama 'simba' wala watu.
Hawawezi kuongea chochote mbele ya wakuu wa wilaya.
Viongozi wa kijiji wamepeleke malalamiko yao kwa mkuu wa wilaya yao ya Kibaha lakini wamekwama.
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe ni 'mkuu' kuliko wakuu wenzake wa wilaya nyinginezo..!!!
Lizaboni hajapata hata ukuu wa wilaya kitambo sana anasubiria naona kila siku ni mpe mrukeunakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa TANROADS
Mbunge hana 'ubavu' mbele ya 'mtoto' wa .................!!Lakini si kuna mbuge hapo jamani? poleni sana
Watafuteni haki ardhi watawasaidia vizuri sana.Mbunge hana 'ubavu' mbele ya 'mtoto' wa .................!!
Tupe ansyoyafanya nasi tuyajue ndo raha ya JFWatu wangejua anachokifanya huyu mkuu wa wilaya ya Kisarawe, wasingepoteza muda kumsifu humu JF.
Angalia post yangu number 395 hapo juu, pamoja na post zilizofuata utaona..Tupe ansyoyafanya nasi tuyajue ndo raha ya JF
Kwani nae alilelewa na Mkulukumwao?Mwampamba akiona Habari kama hii anajutia kabisa usaliti wake
Kumekucha...Ng'ata ung'atweTeteeni tu lakini huyu Mheshimiwa ana tabia hii ya nepotism.
Tanroads kawajaza ndugu na baadhi ya zabuni hulamba.
Mdogo wake akiwa Chuo kikuu alimpa nyumba ya serikali. Nenda Tanesco ana ndugu tena vyeo vya ulaji.
Mtetee tu labda kuna siku atatakukumbuka kwa kupindisha ukweli.