Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani jamaa kasema DC hafai?mim mwenyewe nampata sana huyu Dada....ntafunguka kesho
Hii kupeana kazi na vyeo kwa favor hii ndiyo biggest enemy wa nchi yetu.
Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na naniWewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?
Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.
Aisee!!!Kwahio kama amemlea na anazo sifa za kuteuliwa basi aachwe?
Ufipa nani kawalogaaaa...
Tanroad yenyewe aliipataje?unakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa tanroads
Si kweli!Ccm ni ile ile hata aje nani kwa mfumo wa ccm ulivyo nikazi bure
Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na nani
Kweli kabisa zaidi ukizingatia viongozi wa Afrika. Museven si alimchagua mkewake pia. Sishangai sana viongozi wa Afrika kuteua watu wao wa karibu. "Sadaka huanzia nyumbani"Neno conflict of interest hutumiwa ktk mazingira kama haya!
Ni kama issue za tenders, huwezi kuipa tender kampuni yako, au kumfanyia interview mwanao!
Anyway Magufuli sio wa kwanza!
Nyerere alikuwa na ndugu Kibao ktk uongozi! Mkapa alikuwa na washkaji wa kutosha, the same kwa kikwete ambaye hata ndugu walikula position!
Si sawa Ila alichofanya is not uncommon!
Declear interest manIsitoshe sio baba yake wa kumzaa shida iko wapi hapo?. Tatizo tunalolikataa wananchi ni kubeba mtu asiyebebeka...huyo dada anayo elimu nzuri tu...