nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
binafsi nampongeza rais kwa kuwateua vijana wenzetu katika nafasi hizi za wakuu wa wilaya ingawa wengi ni makada wa chama tawala. pia kuna jamaa za viongozi wastaafu ama waliopo madarakani. cha msingi tuwape muda kwanza juu ya utumishi wao kwa umma wa watanzania. tuwatakie kila la heri ..