Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Watu wa kanda hiyo wanajua tu Ushirikina na kuroga.

Hawajaamka bado, CCM huwa inajipatia kura huko.

Wajinga wajinga sana.
 
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu

..hiyo kesi itaamuliwa mwaka 2027.

..mahakama zetu zina tatizo kubwa na sugu la kuchelewesha kutoa maamuzi.

..maamuzi yanachelewa mpaka yanakuwa hayana maana tena.

..yaani labda cdm wafungue kesi "to make a point / statement" , na siyo kupata HAKI.
 
1.
2.
3.
4. Hawawezi, kazi yao kulialia tu..
5.
 
Unajua hilo Jimbo linaongozwa na chama gani, na ujinga wa wananchi wa huko uko wapi.?
Watu wa kusini na hasa huko sumbawanga ni WAJINGA na WACHAWI

Ndio maana wana shida sana kila mahala ni vumbi vumbi na vibuyu.

Wataendelea kuburuzwa na CCM kizazi na kizazi.
 
Mheshimiwa D.C unaogopa hata bendera!
kinachoniudhi ni huyo jamaa kujiita dr! dr anayefanya hayo katika nchi inayojinasibu kuwa taifa la mfumo wa vyama vingi kisiasa, utawala wa sheria na utawala bora! kuna mtu anaweza kusema kuwa huyu dici hajui? mbona hata chekechea anajua! au ile phd ya hesabu na kemia ya maganda ya korosho? tunao sampuli ya sycophantic dr. hafai haula. what a shame? kusoma pasipo kuelimika. very pathetic!
 
Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tu
Ata wewe unayo haki ya kumpeleka mahakamani. Au Chukulia kua CHADEMA wamekataa kumpeleka mahakani na akang 'oa bendera..je amna taasisi nyingine ya kumshitaki ?
 
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu
Ni wazi kama vyama vya upinzani vinataka kujitetea waangalie sana option ya mahakama hata kama huko pia kuna matatizo. Lazima watenge fungu kubwa la pesa na wajenge uwezo wao wa kuendesha kesi kwa level tofauti za mahakama. Kila mshezi anaeleta ushenzi apelekwe mahakamani. Cha pili wafikirie hata kama ni kuunga unga kama sheria inaruhusu waanzishe RADIO na TV kupeleka sera zao na masibu yao kwa wananchi. Na tatu kwa CDM baada ya kuwachanganya wapenzi wao walio nje ya chama ni wakati muafaka watu wajue tena CDM una simamia nini. Kabla ya 2015 tulijua, ikaingia balaa ya kubadili gea angani, sasa SLAA, LOWASA na SUMAYE waote wametoka simameni tujue ni nini mnasimamia na msilogwe tena kutafuta watalii wa kisiasa hata kama wanapendeza kiasi gani kwani kwa ndani hao ni CCM tu. Naamini somo la ujio wa Lowasa mtakua mmelifianyia kazi. Naamini hata kama Lowasa angeshinda mvutano ndani ya chama ungekua mkali na yeye ndiye angeendesha chama na sivinginevyo.
 
Katumia kifungu gani cha sheria?
 
Tunaziishi nyakati
Na haya yanayofanywa leo hayatofautiani na yaliyofanywa kwa Firauni/Pharao wa Mussa...
Hakika tunaziishi nyakati...
Kipindi cha ng'ombe waliokonda na walionona!!!
Tumejipangaje?
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Acha uchochezi hakuna kitu kama hicho Dk Haule anajitambua sana tafuteni njia nyingine ya kumchafua au kiki nyingine ,mbuzi nyie VYADOMO
 
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu
Ni wapumbavu CHADEMA muda wa kulialia kama ushahidi wanao walianzie siyo kuleta ujinga wao humu,hakuna huruma za propaganda
 
Unao ushahidi juu ya hilo au unadandia treni kwa mbele tu?
 
Nikiwa rais hawa wote natia ndani wote
Nalog off
 
Rais kama kweli ni muadilifu na asiependa ubaguzi nasi amuondoe kwenye nafasi aliompa hata kabla chadema hawajaamua kwenda maakamani. Haya mambo yanapita. Raisi huyu hata kama milele. Nina uhakika atakuwa raisi hadi 2025 sababu hata akipata kura moja ndie atakayetangazwa, lakini baada ya hapo wateule wote waliofanya blunder wajiandae. Uvinjifu wa katiba wakimfurahisha kwenye kinga utawatokea puani.
Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…