Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.
Mama Samia kwenye uongozi tunaomba kuwe na vijana wengi kama hawa kwa kuwa wanaonyesha hali ya kufanya kazi kwa bidii kubwa sana. Pale ppanapotokea changamoto kwao wapate somo au namna bora ya kufanya kazi yao vizuri.
Mama Samia kwa pamoja tunakupenda sana Chapa kazi tupeleke nchi ya ahadi.
#kazi iendelee#