Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Sio mbaya kufanya kazi kwenye media / kuuza sura ila mengi ya maendeleo huwa yanafanyika behind the scenes hakuna sababu ya Camera huenda kwenye ukaguzi watu wakaogopa Camera na kupewa majibu ya uoga, ila ndio hivyo politics zipo kila mahali siku hizi...
 
Jokate wakati akihijiwa juzi kati hapa...

Alisema cheo cha uDC mara nyingi ni cheo cha kuongeza tu thamani ile mipango iliyopangwa na kupitishwa na serikali kuu kwa ajili ya utendaji...

Hivyo DC ni mtekelezaji tu wa maamuzi yaliyokwisha fanywa na wenye nchi...
Point yako ni nini?
 
Nategemea Nikki atuongeze Kisarawe kutumia usomi wake wa uchumi.

One.
Kwa kuanzia aanzishe microfinance kwa ajili ya wajasiliamali na wakulima wadogo wadogo hasa wa mbogamboga na mazao ya misitu,utunzaji wa mazingira na uboreshaji wa makazi ya kudumu, huduma za jamii hasa Maji, Elimu na Afya.
Hapo ataboa kwa kasi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom